Wala usibadili,wapo wenye inye na tumbo hawana...komaa utawapata...Kama ulikuwa kwenye akiri yangu!! huo ugonjwa wangu mkubwa. Lkn wengi wenye kalio ndo wenye vitambi!! Nadhan nibadilishe vigezo sasa.
Hongera mkuumimi nina mimba y miez mitatu
Mkuu wanapatikana wapi hao, nipm bas namba ya mmoja wao.Wala usibadili,wapo wenye inye na tumbo hawana...komaa utawapata...
Kha!!!wanawake wenye vitambi ni wezi!!
Ulitaka kusema au dudu?kwani kitambi ndo kinagegeda au naniii!???
Una utani na watu wa lile kabila kubwa eeh?ana kitambimbi afu kapiga suluari afu nyuma flat,,,,,,,teh teh teh eeeeee:rolleyez:
Kwa hoja yako, huenda ukawa na ka kitambikitambi changu kikuboe wewe?
aarghh kama waona siyo size yako si unaondoka tu!!
Ah ah ah jaman mbona mmatunanga hivi.Hata mke wangu ana kitambi balaa isingekuwa ana sifa zingine ninazompenda haki ya Mungu nisingemchukua.
Kika kona wadada wamejaa matumbo, mmoja nikimwuliza una mimba ya miezi mingapi? Weee acha alijisikia vibaya sana kumbe ni tumbo tu.
Kijijini haya mambo siyaoni kbs
ninacho ndiyo na nakipenda kweli.Kwa hoja yako, huenda ukawa na ka kitambi
naanzaje kumbadilisha na ukimwambia fanya mazoezi ugomvi!!Kma Umempenda Usijal Hiyo Ni Inshu Ndogo Unaweza Kumbadilisha...Tena Kma Mnakaa Wote Inakua Safi Sanaa.