Wadada wenye vitambi wanaboa

nyuma sitikisiki hata mbele ishindikane .. loh

japo kiukweli havipendezi kabisa ila hata sisi hatupendi vinakuja byenyewe baby asubuhi kaninunulia mtori na chapati moja/... mchana kukulabda chips au wali.. jioni nyama choma tena nakula saa nne usiku na kabia juuu uwiiiii lazima tu kije

Unapo amka Asubuhi Fanya zoezi basi khaaaa!
 
......Ukichagua sana mwisho ni kutoka na Koroma.
Kuacha Ndogondogo, Kutoka na Jimama- Lakuchumpa-Lakuchumpa-Lakuchumpa-Lakuchumpa.
-Mzee wa Madongo (Hamza Kalala)
Naimba jamani.
:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:
 
Kitambi kwa Mwanamke ( Msichana0 siyo Deal Kabisa; Ila kama Ulivyosema Kuna Kigine Kinapendeza Kidezini lakini hiki ni Lazima Huku Nyuma Pawepo na Mbinuko Kusupport body. Siyo Siri Kitambi Ni Bundi Kikiwa kwa Mwanamke anayesanya sanya.

khaaaaa jamani......anaesanyasanya....haaaaaaa
 
Ivi inakuaje pale mnapokutana mwanamke na mwanaume kwa bed afu wote mna vitambi? c ndo mission inakua impossible!!
 
ukikutana nae nyuma hana, afu kitambi kipo afu bonge bonge anakuwa mviringo kama gogo:smile-big:
 
nyuma sitikisiki hata mbele ishindikane .. loh

japo kiukweli havipendezi kabisa ila hata sisi hatupendi vinakuja byenyewe baby asubuhi kaninunulia mtori na chapati moja/... mchana kukulabda chips au wali.. jioni nyama choma tena nakula saa nne usiku na kabia juuu uwiiiii lazima tu kije

uwiii miss chagga umesahau na ka-mbege vitochi viwili jamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom