Wadada wenye vitambi wanaboa

Wadada wenye vitambi wanaboa

Sasa kama mtu anapenda kula mchemsho na mtori sanjali na kitimoto chenye mafuta na beer za ofa kwa nini kisije...
 
shida ukiwatoa lunch dada zetu wanakula kama kesho hawata kula tena...

dada zangu jamani jaribu kumaintain pls...
 
ana kitambimbi afu kapiga suluari afu nyuma flat,,,,,,,teh teh teh eeeeee:rolleyez:
 
Mimi binafsi sizungumzii na wengine huwa sipendi mwanamke anapokua na Kitambi.

Halafu kitu ambacho nimegundua kwa jinsia zote kuota kitambi ni hali ya mwili kutokua na mazoezi jirekebisheni mwanamke kuwa na mtumbo huo mpaka kitovu kinataka kupasuka.

Kwanini usijirekebishe na Ulaji wako siyo kisa umeolewa ni kushindilia maviporo tuu kutwa nzima i like wanawake wenye tumbo dogo tuu siyo mzigo.
 
Sawa ila wamekusikia ila wengine kama mm napenda sana bonge jumlisha na kitambii.
 
Mtuache jamani......kwa hiyo tusinywe hata supu......tusinywe bia......tusile chips kuku.......hivi mnatutaka nini lakini.....?.......tumechoka........
 
attachment.php
 

Attachments

  • obese_1511971c.jpg
    obese_1511971c.jpg
    15.3 KB · Views: 1,064
Yaani umeongea point sana tu mkuu mtoa mada.....mimi binafsi sipendagi sana mwanamke mwenye kitambi aiseee dah K inakuwa yakutafuta bhana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom