Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Watasalimika mbona ingawa wanapiga nyama na bia sanaKwenye hii post sidhani kama watani zangu watasalimika
Watasalimika mbona ingawa wanapiga nyama na bia sanaKwenye hii post sidhani kama watani zangu watasalimika
Na mazoezi ya kupunguza tumbo zamani nikiwa mdogo nilizoea wanaume kuwa na vtambi ila cku hiizi wanawake wanaongoza kiafya sio vzuriKabisa yaani. Muhimu ni kuacha uvivu tu
Hahaha! It is vice versa now,aise kitambi hakinivutii hata kwa dk 10.Na mazoezi ya kupunguza tumbo zamani nikiwa mdogo nilizoea wanaume kuwa na vtambi ila cku hiizi wanawake wanaongoza kiafya sio vzuri
Jaman! Tutapewa kila majina leoVitambi vinawaharibia wanawake muonekane wapenda kula hata baadhi ya nguo mshindwe kuvaa mana shape inakua ka amoeba
asante maana wanavyo tunanga. Umri ukifikia kitambi hakikwepeki. Tunabeba watoto tumboni. Tuna ukipasuliwa ndio kabisaa ni unkwepableKitambi sina ila lazima niwatete wenzangu.
Jamani bora msichana mwenye kitambi kuliko mwanaume mwenye kitambi, kimefunika kadushe kamekuwa kafupi kama njiti na mbaya zaidi hana hela. This a shame.
Ukiwa na hela na una kinjiti, who cares??? Mind u, hela inafuta mapumgufu ya mwanamme.
Mwanamke na kitambi huenda kimesababishwa na uzazi. So waache ili tuongelee wanaume na vitambi
Anzisha mada yako, hapa ni wanawake wenye vitambiKitambi sina ila lazima niwatete wenzangu.
Jamani bora msichana mwenye kitambi kuliko mwanaume mwenye kitambi, kimefunika kadushe kamekuwa kafupi kama njiti na mbaya zaidi hana hela. This a shame.
Ukiwa na hela na una kinjiti, who cares??? Mind u, hela inafuta mapumgufu ya mwanamme.
Mwanamke na kitambi huenda kimesababishwa na uzazi. So waache ili tuongelee wanaume na vitambi
Hahaaaa papuchi Mpaka itafutwe na torch aiseeJaman! Tutapewa kila majina leo
Tehe tehe....unataka kusema miss chagga ana kibams!!??Kwenye hii post sidhani kama watani zangu watasalimika

achen huko, bora hata hao wanawake na vitambi wana maziwa na wengine kajitako japo kwa mbali,
nyie 'me' na vitambi MBINUKO convex halafu viko juujuu mimba si minba sijui ni vitambi vya stress![]()
![]()
![]()
![]()
Kwani wewe huna kitambi?Habari zenu wakuu. wandugu naona kila mademu wenye vitambi wanaongezeka siku hadi siku. yaan mpaka najiuliza mnakula nini cha ziada. mana utakuta binti mzuri lakini kitumbo hicho. kwa kweli mi huwa naboreka kila nikikutana na demu dizaini hiyo. na ukimwambia ukweli umeanzisha ugomvi!!! wadada zingatien diet. demu mwenye kitambi hapendezi.