agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Wewe unajua lipi zaidi ya umbea?Mtu wa hivyi umuoe umpeleke wapi hata hajui lolote zaidi kutapika maneno
Wewe unajua lipi zaidi ya umbea?Mtu wa hivyi umuoe umpeleke wapi hata hajui lolote zaidi kutapika maneno
Chukua muda wako kufwatilia Kwa makini ni jinsia gani imepoteza zaidi sifa ya kuwa mwanandoa...alafu utakuja Na majibu hapa..achana Na maneno ya mitandaoni.Nikuambie dada yangu. Wapo wanawake wazuri sana wenye sifa zote za kuitwa mke na pia kuna wanaume wanasifa zote za kuitwa mume
Na pia kuna wanawake wabovu sana ambao hawastahili kuitwa mke na pia kuna wanaume wabovu sana wasiostahili kuitwa mume.
N.B
Muda, mazingira na ww mwenyew unavyochukulia mambo (Uchaguzi wa mpenzi) ndivyo vitakuongoza kupata chaguo sahihi au siyo sahihi.
Kwa nini mnataka kuwapangia watu wazima wenzenu jinsi ya kuishi katika maisha yao binafsi?Hapa ndo unadhidi kujidhihirisha kuwa nawe bado mshamba tu maelezo mengi ila hamna cha maana nilichong'amua na hata hili darasa unalotoa ni invalid sababu unaemuelewesha anaelewa alichokimaanisha hivyo wewe kuendelea kumuuliza "umeelewa" ni kujipa kazi usiyostahili ndomana kama mwalimu lazima chuoni kwako wakufundishe elimu ya saikolojia uweze kutambua uelewa wa wale unaowafundisha na siyo kung'ang'ania kulazimisha kitu fulani ambacho tayari ana uelewa nacho ..hata "inferiority complex" inawapa sana hasa mnaojifanya wajuaji kama wewe.
Karne hii unamwambia mtu kama umeangalia movie fulani inaitwa....utakuwa umeelewa!!! We kwa akili zako movies unazoangalia wewe na wengine wanaziangalia?
hahaaaaUtakuwa single mother
p00p0p00p0p00p0p000pp0pp0p0p0p0p00p0p0p0p0p000p0000000000000000000000o00000000000l0Hakika maana yake nini? Hakika ya nini?
Mbona unaandika kama una uvivu wa kujenga hoja?
Mimi mwanamme.
Yumkini kwamba mwanamme kufuatilia na kutia kauli kwamba single mother wengi wanakuwa na degree without an iota of statistic or anecdotal reference ni umbea na unyanyapaa.
Zaidi, dunia ya leo si ya watu kufuatilia matakwa ya jamii.
Watu wana uhuru wa kuishi wanavyotaka.
Kama wameona ndoa zimezidi kero, wana uhuru wa kuzaa na kuishi bila ndoa.
Wewe ni nani mpaka ulazimishe ndoa kiwe kitu cha muhimu kwao kwa sababu unafuata mapokeo ya kijamii ambayo yana ulaghai zaidi ya ukweli?
Kwa nini unataka kuingilia watu wazima walioamua kuishi maisha yao kivyao?
Wakiishi na ndoa au bila ndoa wewe tatizo lako nini?
Wamekupiga kibuti?
Haaa Le King NYE NYE NYE, Le King MOBIMBA, Im Humbled You Know.We jamaa kumbe upo, kitambo sana sijaliona hili jina jamiiforamuni
Umarekani mwingi ndiyo tatizo na ujuaji . MwingiBwana Yesu asifiwe wapendwa!!!!
Nimefanya utafiti nimegundua wadada wengi wenye elimu za juu ndo wanaoongoza kuzalishwa na kuachwa, Ukilinganisha na wa vijijini.
>> Maana wale wa vijijini asilimia kubwa wanaolewa lakn wadada waliofika Elimu ya juu kwa sbb ya kutamani maisha mazuriii, wamejikuta wanajiingiza kwny mahusiano na mtu anaemzania kuwa ana maisha safi,,,,na hatimaye anaposhika tu ujauzito,,na mahusiano ndo yanaishia hapo.
Na wao wanajifariji kwa kuwa amesoma ana kaDegree au anafanya kazi fulani basi atalea tu mtoto.
Na baadae anajaribu kuingia tena mahusiano na mwingne anashika tena mimba kisha uhusiano unakufa. Tena uhusiano unakufa kwa uchungu sana maana huwa hawatarajii kama yatatokea.
Tena Wadada waliosoma au wenye kazi mzurii ndio wanaoongoza kuwa uchungu moyoni wa kimahusiano(KUUMIZWA) kuliko wa vijijini. Tena inafika wakati kutokana na kuumizwa wanaamua kuolewa na Elimu au Kazi zao.
JAMANI MM NIMESEMA KAMA MCHUNGAJI NAOMNA WADADA MSINICHUKIE. NINAWAPENDA MAANA NAJUA MUNGU ANAWEZA KUWARUDISHIA THAMANI ZENU.
nlilalaHulalii😀
Naona umepuliza alafu umeng'ata hongera sanaWengine ikiwa usiku macho yao hayaoni vizuri.kwa hiyo hata akili nazo hazifikiri vizuri.ye anajua kila aliyelala asa hv kakumbatiwa hafikiri hata kama kuna wengine wamefiwa,wamebakwa,wamefumaniwa ama wapo kugombana ama wamegombana mwingine yupo kwa sittng room na mwingine yupo kibarazan ama wamelala ila migongo inatazamana...
Ulikuwa exiled nini 😎Haaa Le King NYE NYE NYE, Le King MOBIMBA, Im Humbled You Know.
Jamii yetu ina unyanyapaa wa kijima mkubwa sana. Na badala ya kuumaliza kadiri miaka inavyozidi, naona kama unazidi tu.