Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

ni
Bwana Yesu asifiwe wapendwa!!!!

Nimefanya utafiti nimegundua wadada wengi wenye elimu za juu ndo wanaoongoza kuzalishwa na kuachwa, Ukilinganisha na wa vijijini.
>> Maana wale wa vijijini asilimia kubwa wanaolewa lakn wadada waliofika Elimu ya juu kwa sbb ya kutamani maisha mazuriii, wamejikuta wanajiingiza kwny mahusiano na mtu anaemzania kuwa ana maisha safi,,,,na hatimaye anaposhika tu ujauzito,,na mahusiano ndo yanaishia hapo.

Na wao wanajifariji kwa kuwa amesoma ana kaDegree au anafanya kazi fulani basi atalea tu mtoto.
Na baadae anajaribu kuingia tena mahusiano na mwingne anashika tena mimba kisha uhusiano unakufa. Tena uhusiano unakufa kwa uchungu sana maana huwa hawatarajii kama yatatokea.

Tena Wadada waliosoma au wenye kazi mzurii ndio wanaoongoza kuwa uchungu moyoni wa kimahusiano(KUUMIZWA) kuliko wa vijijini. Tena inafika wakati kutokana na kuumizwa wanaamua kuolewa na Elimu au Kazi zao.

JAMANI MM NIMESEMA KAMA MCHUNGAJI NAOMNA WADADA MSINICHUKIE. NINAWAPENDA MAANA NAJUA MUNGU ANAWEZA KUWARUDISHIA THAMANI ZENU.
ni kweli kabisa...................
 
Kwa nini mnataka kuwapangia watu wazima wenzenu jinsi ya kuishi katika maisha yao binafsi?

Kitu gani hasa kinawapa haki ya kuwapangia wengine jinsi ya kuishi?
Kuna mtu kapangiwa jinsi ya kuishi au mchangia mana katoa mtazamo wake ambavyo ye anaona unafaa kwa uelewa wake lakini we unaleta kujikweza na kumuona mwenzio kama si lolote..humu ndani kila mtu anamtizamo wake vivyo hivyo kwenye maisha kuna watu wamejichagulia aina fulani ya maisha lakini haibadilishi ukweli kuwa hawavipendi vitu vizuri mfano ndoa,maisha mazuri, nk tatizo ni kuwa wanakuwa hawana uwezo na vitu hivyo.
 
Ukishasema ndoa ni kitu kizuri kwa wote, ushampangia mtu ambaye haoni ndoa ni kitu kizuri kwake kwamba ni lazima aone ndoa ni kitu kizuri.

Na asipoona hivyo ana matatizo.

Ushampangia hapo.

Akikataa kuolewa utamuita majina yote ya ajabu, kwa sababu unampangia maisha.

Kibaya zaidi, hata kama anakubali ndoa ni kitu kizuri, lakini hajapata mtu tu wa kuwa naye kwa sababu moja au nyingine, iwe imesababishwa na yeye au wengine, unamlundika tu huyu kwamba ni mtu mbaya tu, ndiyo maana hajaolewa.

Wakati hata humjui.

Hujui historia yake.

Hujui changamoto alizopitia.

Unajiingiza katika ujinga wa kuhukumu watu kwa mafungu bila ushahidi wala sababu.
 
Takwimu kama hizi hufanywa baada ya kazi kubwa isiyo na mafanikio, yaani ukiwa na stress.
 
ila single mother niwatamu kinyaama kitandani,
Kulko visichana,
Mm kwa sasa nakula single mother tu,
ila kuoa single mother sahau mungu aniepushie mbali
Kuitwa baba kabla ya kuzaa sitak kuskia
 
Hapana mkuu hapo hajampangia mtu ila ni mtazamo wake kwamba yeye anaona ni jambo zuri kwa raia wa jamii kuwa kwenye ndoa kwa sababu ni jambo zuri ila he dint say that every adults must have a marriage
Inawezekana wewe ni kama samaki aliye ndanibya maji ambaye kashayazoea maj8 mpaka akiambiwa umo katika maji anabisha. Anauliza maji ni kitu gani? Hakuna mani.

Lugha iliyotumika ni ya tuhuma, unyanyapaa, masimango na kebehi.

Amewasema vibaya. Kitu ambacho hana haki kufanya. Hususan kwa sababu hakufanya utafiti kaja tu na vineno vya kuokoteza na kuungaunga. Umbea mtupu.

Jambo ambalo ni la kashfa.
 
Nooo sio kashfa mkuu lisemwalo lipo hususa in our societies mkuu hasa katika mahusiano hasa NDOA, hii imebase sana kwenye tuhuma kwamba kuhusu swala linalohusu jamii on other side watu lazima watoe tuhuma kwa kua inaweza kua fashion au ujinga wa kuigwa kwa wengine ambao hawakuweza kufikiri wala kupata mawazo hayo mwanamke lazima azingatie her nature it doesn't matter awe amesoma mpaka PHD level au awe tajiri kiasi gani then unavyosema kusema ukweli na uhalisia wa maisha ya ndoa kiujumla ni kumpangia mtu maisha hapo pia sio sawa mkuu hata kama mmeamua kwa pamoja i mean mme&mke kama sio zuri kwa jamii lazime tuhuma zitoke
Ukisema lisemwalo lipo, na mimi nimesema huyu aliyeleta mada hii ni mbea tu, ina maana unakubali kwamba huyu ni mmbea tu?

Maana lisemwalo lipo, na mimi nimesema huyu mmbea tu.
 
Hapana siko na maana hiyo i ain't talking about him mkuu me naongelea kuhusu mada ambayo ndiyo swala la msingi let's focus in it instead of bushing around itakua vizuri kutokana tunaelimishana kwa tusiyoyajua mkuu na siyo kushabikia mambo yasiyo na faida kwa pande zote itakuw ni uharibifu na kuwapa waharibifu jitihada za kuendelea kuharibu sio kitu kizuri ni vizuri kuweka ukweli na uhalisia wake mbele kwa faida ya jamii zetu hasa,katika swala zima la,mahusiano na kujitambua kwake

Kwa hiyo habari nzima ya lisemwalo lipo si lazima iwe kweli na unaondoa hiyo kauli?

Suala (siyo swala, swala ni mnyama) la msingi ni kwamba, mtu mzima akiamua kuishi maisha bila ndoa ni haki yake. Asisakamwe.

Hiyo moja.

Mbili, usimsakame mtu ambaye hajapata ndoa kiunumla.

Kwa maana inawezekana kataka ndoa na hajaipata kutokana na mambo ya maisha tu, si kwa kutaka yeye. Tena inawezekana yeye ndiye katendwa na wanaume halafu wewe unamlaumu yeye.

Zaidi ya yote, habari za kuandika mambo kiujumla jumla ni uvivu wa fikra tunaotakiwa kuondokana nao.
 
Well said. Safi sana kusimamia uhuru na ukweli. I mean kwamba kama mtu ameamua kupata mtoto bila ndoa kwa kupenda au kutopenda, aachwe apambane na hali yake... Every person and situations are different; so people should stop generalizing without facts and figures. Judge not!
 
Kwa hiyo habari nzima ya lisemwalo lipo si lazima iwe kweli na unaondoa hiyo kauli?

Suala (siyo swala, swala ni mnyama) la msingi ni kwamba, mtu mzima akiamua kuishi maisha bila ndoa ni haki yake. Asisakamwe.

Hiyo moja.

Mbili, usimsakame mtu ambaye hajapata ndoa kiunumla.

Kwa maana inawezekana kataka ndoa na hajaipata kutokana na mambo ya maisha tu, si kwa kutaka yeye. Tena inawezekana yeye ndiye katendwa na wanaume halafu wewe unamlaumu yeye.

Zaidi ya yote, habari za kuandika mambo kiujumla jumla ni uvivu wa fikra tunaotakiwa kuondokana nao.
Good morning mkuu.
 
Ukishasema ndoa ni kitu kizuri kwa wote, ushampangia mtu ambaye haoni ndoa ni kitu kizuri kwake kwamba ni lazima aone ndoa ni kitu kizuri.

Na asipoona hivyo ana matatizo.

Ushampangia hapo.

Akikataa kuolewa utamuita majina yote ya ajabu, kwa sababu unampangia maisha.

Kibaya zaidi, hata kama anakubali ndoa ni kitu kizuri, lakini hajapata mtu tu wa kuwa naye kwa sababu moja au nyingine, iwe imesababishwa na yeye au wengine, unamlundika tu huyu kwamba ni mtu mbaya tu, ndiyo maana hajaolewa.

Wakati hata humjui.

Hujui historia yake.

Hujui changamoto alizopitia.

Unajiingiza katika ujinga wa kuhukumu watu kwa mafungu bila ushahidi wala sababu.
Labda kuelewa kwako mpaka umwagiwe maji,Mtu akikwambia ndoa ni kitu kizuri haimaanishi amekwambia na wewe uingie sababu nawe unakuwa na chaguo lako na katika maisha si kila unachoambiwa lazima ukitekeleze ilimradi huvunji sheria..mfano nchini mwetu kuna watu wamechagua kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja sababu ya vitu ambavyo wao wanaona vinafaa kwa mtizamo wao wanaweza kuwa sahihi lakini ukija kwenye uhalisia hawa watu wanapigwa vita na watu wengi na wanatetewa na watu wachache vivyo hivyo katika familia hakuna mzazi yeyote asiyependa mwanae aishi kwenye ndoa labda atakushauri kama hiyo ndoa haifai waweza tengua lakini pia inategemea na muhusika mwenyewe aliyeingia kwenye ndoa.
Lakini katika maisha binadamu ni wepesi kupeana maneno ya kufarijiana lakini mwisho wa siku kila mtu anabaki na lake moyoni ndomana usishangae kwa mwanamke wakawa na msimamo na mwenzio si lazima aishi maisha ya ndoa lakini cha ajabu mwenzie anapata bwana baada ya mwaka mmoja na anabaki yeye peke yake..ndomana unaambiwa jiamini wewe mwenyewe na siyo kumsemea/kumtegemea fulani
 
Kwa hiyo habari nzima ya lisemwalo lipo si lazima iwe kweli na unaondoa hiyo kauli?

Suala (siyo swala, swala ni mnyama) la msingi ni kwamba, mtu mzima akiamua kuishi maisha bila ndoa ni haki yake. Asisakamwe.

Hiyo moja.

Mbili, usimsakame mtu ambaye hajapata ndoa kiunumla.

Kwa maana inawezekana kataka ndoa na hajaipata kutokana na mambo ya maisha tu, si kwa kutaka yeye. Tena inawezekana yeye ndiye katendwa na wanaume halafu wewe unamlaumu yeye.

Zaidi ya yote, habari za kuandika mambo kiujumla jumla ni uvivu wa fikra tunaotakiwa kuondokana nao.
thank you for your correction, daah nilichogundua kwamba mkuu wewe ni mbishani yani unataka kubishana na sio kuzingatia ukweli na uhalisia ila maana nzima ishaelezwa ila wewe ndiyo hutaki kuelewa!!
 
Tuulize mama zetu waliepuka vipi hili tatizo na hawa wa sasa wamekosea wapi tulekebishe nadhani hii ni gharama ya kuiga mambo ya magharibi
Sure mkuu zile movie wanazoangaliaga wakiwa chuo zinawaharibu akili sana. Wanataka maisha fulani hivi ambayo kuyapata mtaa ni ngum kdg
 
Back
Top Bottom