Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

Mianamke misomi mengi hayana utii.

Halafu ndiyo wanaongoza kuwa single mother. Wengi wao huolewa wakiwa 35+. Wakiwa wametukishwa papuchi vya kutosha na kila njemba.
mm sijasema muanze matusi. , ila ni kama kuwakumbusha tu kwmb wanahitaj kuwa makini sana wanapotaka kuingia kwny mahusiano.
Ndo maana nilitoa MADA kuwa wengi wanaolewa na wanaume na sio waume kwasbb wanaangalia sana hali ya mtu,, na mali. Hicho ndo chanzo cha kuwafanya wengi kuangukia usingle mother.

Lakn ninawaombea Mungu awape ufahamu wa kujua mtu sahihi
 
Well said mkuu.

I accept.
 
Ni majivuno kama hayo ndio huwa yanawafanya mjikute nje ya mfumo rasmi wa maisha,na kuanza kutoa maneno kama ndoa ni mateso,sina haja ya kuolewa nina elimu nzuri n.k
Subiri ufike miaka 40,uanze kuteseka kisaikolojia
Utapata pressure ya bule Ndugu yangu Na magazeti yako.
 
Ndoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
Haya ni maneno ya kujifariji tu. Wapo watu wanafurahia ndoa zao mpaka wanafanya sherehe ya kuadhimisha miaka kadhaa ya ndoa. Ukikutana na mtu mbaya basi usigeneralize kuwa wote wako hivyo.
"Kila binadamu ana ndoto ya kuwa na mume/mke pamoja na watoto ila kwa kuwa umekutana na mtu mbaya basi suala la ndoa hugeuka msiba lkn wengine ndoto zao zinatimia''
Ndoa inahitaji kujitolea, upendo, uaminifu, kusikilizana, uvumilivu na kuwa na HOFU YA MUNGU" vikikosekana hivi hiyo siyo ndoa. Tatizo viumbe wa sasa wanataka kila kitu kiwe rahisi. Kuna jamaa alinisimulia kipindi ameanza maisha na mke wake aisee inasikitisha sana lkn imebeba fundisho kubwa.
Kiufupi. Jamaa na mke wake ilifika kipindi wanalala njaa, chakula hakuna na pia kazi hakuna. Mume na mke wanaenda kutafuta kibarua cha kulima ili wapate hela ya chakula lkn kwa sasa mambo ya safi.
*USIPENDE KUGENERALIZE MAMBO
 
Tunataka mawazo kama haya sio kutwa kuwafunda wanawake wakati wanaume wapo ovyo hawajui wajibu wao wapowapo Tu.
 
Kama ni mwanamke na ur about 30+ na bado unahangaika na wanaume yaani hutambui yupi ni mmeo mtarajiwa,jitafakari,unaweza kuwa na matatizo.
Being too selective for ur own economic interests.
 
mawazo yako!! sio lazima kuyafwata..
 
Haaahaaa
ulikua unawachoma au unawapika[emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji86]
Haahaaa mtanzania daah kwa maneno ya kuungaungaa mnatisha nimecheka kinoma mkuu ety ulikua unawachoma au unawapika!!!!umetisha mkuu
 
Weee kweli ?
Hebu pita huku Tandale ujioneee masingle mama standard seven walivyo wengi.
 
ISAYA 4:1

"Wakati huo wanawake 7 watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
 
Back
Top Bottom