Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

Kusema mtu anayekuuliza kama umeelewa anajivuna ndiyo kujivuna kwenyewe.

Kwa sababu ni sawa na kusema kuwa wewe huna uwezo wa kutoelewa, unaelewa kila kitu.

Na mtu akikuuliza kama umeelewa, kakutukana kwa ujivuni.

Ukiwa mwanafunzi wa aina hii, kila mwalimu atakapokuuliza "umeelewa?" kwa nia nzuri tu ya kuhakikisha mko pamoja, utaona kakutukana.

Hutaweza kujifunza vizuri, kwa sababu kujifunza vizuri kunahitaji ukubali kwamba kuna uwezekano wewe ukawa huelewi vitu fulani.

Swali la "umeelewa?" halina ujivuni, labda kama ujivuni unaonekana kutokana na "inferiority complex" ya anayeona ujivuni.

Kwa sababu walimu wazoefu wanajua hata mwalimu huwa anafundishwa na wanafunzi wake. Swali la "umeelewa?" linaweza kuzua uchambuzi utakaoonesha anayeuliza "umeelewa?" hajaelewa anachofikiri anaelewa, na anayeulizwa "umeelewa?" akawja kuonekana ameelewa vizuri kinachozungumzwa kuliko anayeuliza "umeelewa?".

Ni swali la kuhakiki kwamba wote tuko sawa kuliko kingine chochote. Ukifikiri kingine utakuwa na unyonge wa kujitakia mwenyewe.

Na kama umeangalia filamu ya "The King And I" utakuwa umeona mpaka wimbo wenye mashairi yanayosema hili.

Panua upeo wako, usiangalie mambo kwa ufinyu wa "inferiority complex".

Ukiwa na "inferiority complex" mtu anaweza kukusalimu tu "Hello" ukaweka swali, kwa nii kakusalimia, lazima atakuwa anakudharau.
Hapa ndo unadhidi kujidhihirisha kuwa nawe bado mshamba tu maelezo mengi ila hamna cha maana nilichong'amua na hata hili darasa unalotoa ni invalid sababu unaemuelewesha anaelewa alichokimaanisha hivyo wewe kuendelea kumuuliza "umeelewa" ni kujipa kazi usiyostahili ndomana kama mwalimu lazima chuoni kwako wakufundishe elimu ya saikolojia uweze kutambua uelewa wa wale unaowafundisha na siyo kung'ang'ania kulazimisha kitu fulani ambacho tayari ana uelewa nacho ..hata "inferiority complex" inawapa sana hasa mnaojifanya wajuaji kama wewe.
Karne hii unamwambia mtu kama umeangalia movie fulani inaitwa....utakuwa umeelewa!!! We kwa akili zako movies unazoangalia wewe na wengine wanaziangalia?
 
Bwana Yesu asifiwe wapendwa!!!!

Nimefanya utafiti nimegundua wadada wengi wenye elimu za juu ndo wanaoongoza kuzalishwa na kuachwa, Ukilinganisha na wa vijijini.
>> Maana wale wa vijijini asilimia kubwa wanaolewa lakn wadada waliofika Elimu ya juu kwa sbb ya kutamani maisha mazuriii, wamejikuta wanajiingiza kwny mahusiano na mtu anaemzania kuwa ana maisha safi,,,,na hatimaye anaposhika tu ujauzito,,na mahusiano ndo yanaishia hapo.

Na wao wanajifariji kwa kuwa amesoma ana kaDegree au anafanya kazi fulani basi atalea tu mtoto.
Na baadae anajaribu kuingia tena mahusiano na mwingne anashika tena mimba kisha uhusiano unakufa. Tena uhusiano unakufa kwa uchungu sana maana huwa hawatarajii kama yatatokea.

Tena Wadada waliosoma au wenye kazi mzurii ndio wanaoongoza kuwa uchungu moyoni wa kimahusiano(KUUMIZWA) kuliko wa vijijini. Tena inafika wakati kutokana na kuumizwa wanaamua kuolewa na Elimu au Kazi zao.

JAMANI MM NIMESEMA KAMA MCHUNGAJI NAOMNA WADADA MSINICHUKIE. NINAWAPENDA MAANA NAJUA MUNGU ANAWEZA KUWARUDISHIA THAMANI ZENU.
Kingine ulichokisahau....
Wadada kama hao waliosoma sana wanaongoza kwa kuhachwa au kutompata mchumba wa kudumu kwakuwa hawa wanatabia ya kupenda kuwa juu kwa kila kitu... si nje wala ndani ya famililia... hawataki mwanaume asikie... aamue wala kuchangia wazo lolote...
 
Ndoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
Kwako wewe... kunawenzako bado wanauona utamu wa ndoa... yaani anaona kama ameolewa jana vile yaani bado yupo ktk zile saba za kula tuuuuuuuuuuuuuundi...

Ukiipenda ndoa itakupenda
Ukijitolea au kiamua kuwa katika ndoa utakuwa tu na utaifurahia.

Ww bado unachuki na ndoa... unadhani itakupenda?
Ww bado kichwa chako kina U-SINGLE ... yule aliekuumiza hasikufanye ukachukia kila kitu... maumivu ni mapito na mi changamoto za mapenzi...
BADILIKA!
 
Hata maambukizi yatokanayo na ngono HIV ikiwemo, hawa dada zetu ndio kipau mbele.
 
Hawa tatizo lao ni moja wana kamsemk kao i dont settle for less i deserve better kana keamba maisha ni tambarale wanapenda maisha ya juu sasa walio na maisha hayo wanapiga na kuacha wao wanajitegesha mimba wakidhani ndo watawakamata ila mwisho wa siku _____________
 
Tunataka mawazo kama haya sio kutwa kuwafunda wanawake wakati wanaume wapo ovyo hawajui wajibu wao wapowapo Tu.
Nikuambie dada yangu. Wapo wanawake wazuri sana wenye sifa zote za kuitwa mke na pia kuna wanaume wanasifa zote za kuitwa mume
Na pia kuna wanawake wabovu sana ambao hawastahili kuitwa mke na pia kuna wanaume wabovu sana wasiostahili kuitwa mume.
N.B
Muda, mazingira na ww mwenyew unavyochukulia mambo (Uchaguzi wa mpenzi) ndivyo vitakuongoza kupata chaguo sahihi au siyo sahihi.
 
Vidada vikisha kuwa na videgree vinajifanya vijanja, vijuaji, vina tamaa sana, vinataka kutawala wanaume, wanajiona wao hawababaishwi na wanaume, so most of time wanaume ni wajanja naturally, wakishaona mwanamke mjuaji, unamla kisawa sawa, unasepa, sbb nature huwezi geuza, mwanaume ni mwanaume na itabakia hivyo milele, sasa wanawake wengi wenye degree wanataka kutawala wanaume au kuwa juu yao, hapo hakuna ndoa au maisha ya wawili hayatawezekana katu..!!
Wanawake waliosoma sana hata kuzaa wengi wao ni shida baadhi yao wametoa mimba countlessly
 
Mianamke misomi mengi hayana utii.

Halafu ndiyo wanaongoza kuwa single mother. Wengi wao huolewa wakiwa 35+. Wakiwa wametukishwa papuchi vya kutosha na kila njemba.
Akiolewa viporo wengi wao hawaachi kupasha.
 
Tunataka mawazo kama haya sio kutwa kuwafunda wanawake wakati wanaume wapo ovyo hawajui wajibu wao wapowapo Tu.
Mimi ni mfano mzuri sana wa mme asyejua wajibu wake mke wangu amechukuliwa na mwanaume anayejua wajibu wake vizuri. Nimefurahi sana aliyekuwa mke wangu sasa anaishi maisha bora zaidi. Sasa hivi haendi sokoni kila kitu ni mlimani city. Nimefurahi sana japo nimeumia sana.
 
Kama ni mwanamke na ur about 30+ na bado unahangaika na wanaume yaani hutambui yupi ni mmeo mtarajiwa,jitafakari,unaweza kuwa na matatizo.
Being too selective for ur own economic interests.
Uchunguzi niliofanya inaonesha kuwa hawa wanawake siku hizi hawataki ndoa kwa kuwa kuolewa ni kuwa cheap prostitute. Hivyo bora kutoolewa anakuwa ni expensive prostitute. Usidhani wanakosa wa kuwaoa wanajua wanachofanya. Kalaga baho...
 
Back
Top Bottom