bandamo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,930
- 1,370
Tema mate chiniNdoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
Tema mate chiniNdoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
Mmmhhh....waweza kuwa jirani yangu kitaaa....sawa ntakuja tuyajenge ili usiwe na mume jinaNdoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
Huna lolote. Sizitaki mbichi hizi. Ndoa tamu asikudanganye mtu. Vilevile ina heshima. Asiyeolewa mbele ya jamii anaonekana "home wrecker" au nungayembe au jamvi la yeyote.Ndoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
hii imepenyaHuna lolote. Sizitaki mbichi hizi. Ndoa tamu asikudanganye mtu. Vilevile ina heshima. Asiyeolewa mbele ya jamii anaonekana "home wrecker" au nungayembe au jamvi la yeyote.
Jirekebishe tabia uolewe
Kuandika Mali yako.Huna lolote. Sizitaki mbichi hizi. Ndoa tamu asikudanganye mtu. Vilevile ina heshima. Asiyeolewa mbele ya jamii anaonekana "home wrecker" au nungayembe au jamvi la yeyote.
Jirekebishe tabia uolewe
Sijaona chakunitemeshaTema mate chini
Nilijua tu huna mume. Saa tisa hii wenzio wamekumbatiwa wewe umevaa bukta unachati na kuangalia picha mbaya. Usingizi hauji. Vibabu unavyovichuna viko kwa wake zao. Mwanamke nightie au night dress bwana sio bukta uliyovaa wewe. Jirekebishe tabia labda unaweza......unaweza kupata mume....jitekebishe tabia.Kuandika Mali yako.
Nicheki pm tuyajengeSijaona chakunitemesha
Ona sasa akili zenu zilivyo fupi hapo hata hujui nipo wapi ushajijibu upuuzi kichwani kwako...Nilijua tu huna mume. Saa tisa hii wenzio wamekumbatiwa wewe umevaa bukta unachati na kuangalia picha mbaya. Usingizi hauji. Vibabu unavyovichuna viko kwa wake zao. Mwanamke nightie au night dress bwana sio bukta uliyovaa wewe. Jirekebishe tabia labda unaweza......unaweza kupata mume....jitekebishe tabia.
We umezaa?Ndoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
We jamaa kumbe upo, kitambo sana sijaliona hili jina jamiiforamuni
Nicheki pm tu
Hulalii😀We umezaa?
Wewe mbona hulali!!Hulalii😀
Wengine ikiwa usiku macho yao hayaoni vizuri.kwa hiyo hata akili nazo hazifikiri vizuri.ye anajua kila aliyelala asa hv kakumbatiwa hafikiri hata kama kuna wengine wamefiwa,wamebakwa,wamefumaniwa ama wapo kugombana ama wamegombana mwingine yupo kwa sittng room na mwingine yupo kibarazan ama wamelala ila migongo inatazamana...Ona sasa akili zenu zilivyo fupi hapo hata hujui nipo wapi ushajijibu upuuzi kichwani kwako...