Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

sasa tuwasaidiaje ili na wao wafaidi kuwa ndani ya ndoa? naamini kuna members huku ni zao la single mama
 
Wengine ikiwa usiku macho yao hayaoni vizuri.kwa hiyo hata akili nazo hazifikiri vizuri.ye anajua kila aliyelala asa hv kakumbatiwa hafikiri hata kama kuna wengine wamefiwa,wamebakwa,wamefumaniwa ama wapo kugombana ama wamegombana mwingine yupo kwa sittng room na mwingine yupo kibarazan ama wamelala ila migongo inatazamana...
Wabongo utawaweza Ndugu yangu....nnchi inayoongoza Kwa wajuaji vilaza.
 
sasa tuwasaidiaje ili na wao wafaidi kuwa ndani ya ndoa? naamini kuna members huku ni zao la single mama
Awe mtii, atafaidi ndoa.. kama hasipokuwa tayari kuwa mtii basi hatuna lingine la kusahidiana hapo
 
Kuna kiu fulani, hususan kwa wanaume ambao ama wameumizwa, ama hawajitambui, ama hawajiamini, ama wana roho mbaya tu, kutaka kuwakandamiza, kuwabeza na kuwazodoa wanawake kwa visingizio vyao vyovyote vya sababu za uongo na kweli za kulundika watu kwa mafungu.

Mwanamme anayejitambua atatulia kufuatilia habari zake na mkewe. Kuanza kuongelea mwanamke gani hajaolewa kwa sababu ya usomi wake, anazaa bila kuolewa, wakati hujaulizwa, wala hujui vipaumbele vya watu tofauti katika maisha ni nini si tu ni ujima wa kuchunguzanachunguzana na kufuatanafuatana, ni umbea ambao mtu mume anayejielewa hatakiwi kushiriki.
 
Kuna kiu fulani, hususan kwa wanaume ambao ama wameumizwa, ama hawajitambui, ama hawajiamini, ama wana roho mbaya tu, kutaka kuwakandamiza, kuwabeza na kuwazodoa wanawake kwa visingizio vyao vyovyote vya sababu za uongonakweli za kulundika watu kwa mafungu.

Una uhakika na unacho kinena ?
 
We ni ke au mee
 
Una uhakika na unacho kinena ?

Hakika maana yake nini? Hakika ya nini?

Mbona unaandika kama una uvivu wa kujenga hoja?

Mimi mwanamme.

Yumkini kwamba mwanamme kufuatilia na kutia kauli kwamba single mother wengi wanakuwa na degree without an iota of statistic or anecdotal reference ni umbea na unyanyapaa.

Zaidi, dunia ya leo si ya watu kufuatilia matakwa ya jamii.

Watu wana uhuru wa kuishi wanavyotaka.

Kama wameona ndoa zimezidi kero, wana uhuru wa kuzaa na kuishi bila ndoa.

Wewe ni nani mpaka ulazimishe ndoa kiwe kitu cha muhimu kwao kwa sababu unafuata mapokeo ya kijamii ambayo yana ulaghai zaidi ya ukweli?

Kwa nini unataka kuingilia watu wazima walioamua kuishi maisha yao kivyao?

Wakiishi na ndoa au bila ndoa wewe tatizo lako nini?

Wamekupiga kibuti?
 
Hakika maana yake nini?

Kwa maandiko yako ama umetendwa au ni moja wao mkuu !!. Hakuna kosa lakini anairithisha nini uzao wake wenye mababa wanne watano ?!. Umewahi kuoa kwa msimbe ?! Atataka mkwewe asiwe na sauti kwa mwanaye . Si aina ya maisha ya kushabikia hata kama yana uhuru mkubwa [emoji120]
 
Illovo ulitafuta mke humu ukaahidi mwaka jana mwezi wa9 utaoa na picha utaleta javini lakini ulikimbilia kusikojulikana....
 
Nani kakwambia wanawake wote wanataka wame?

Wengine wanataka watoto tu bila ndoa

Wengine hawataki watoto Wala wame

Na wengine wapo kwenye ndoa ila wanatamani wasingekua ndoani.

Ni ujinga kuamini watu wote wana matamanio na vipaumbele sawia.
 
Kwa maandiko yako ama umetendwa au ni moja wao mkuu !!. Hakuna kosa lakini anairithisha nini uzao wake wenye mababa wanne watano ?!. Umewahi kuoa kwa msimbe ?! Atataka mkwewe asiwe na sauti kwa mwanaye . Si aina ya maisha ya kushabikia hata kama yana uhuru mkubwa [emoji120]
Mimi ni mwanamme. Nina mke wangu tunaishi happily everafter, in laughter. Miaka 12 sasa.

Sasa nimetendwaje hapo?

Tanzania hatuwezi kuendelea mpaka tuache hizi tabia za umbea umbea usio na tija, tena ni aibu kwa wanaume kufanya umbea huu.

Habari hizi hazina tofauti na ule utamaduni wa Uswahilini wa kwenda kuangalia katika majalala nani kala mayai na nani kala dagaa.

Acheni kila mtu aishi anavyotaka.

Ilimradi ni mtu mzima, hakuvunja sheria na hajakuingilia katika maisha yako.

Ukimfuatilia mtu zaidi ya hapo huo ni ushamba, ujima na unyanyapaa.
 
Ndoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
Inawezekana wewe ndo chanzo cha mateso,jisahihishe. Mama yako mzazi angekuwa na akili kama yako,huenda usingefika ulipo.
 
Nani kakwambia wanawake wote wanataka wame?

Wengine wanataka watoto tu bila ndoa

Wengine hawataki watoto Wala wame

Na wengine wapo kwenye ndoa ila wanatamani wasingekua ndoani.

Ni ujinga kuamini watu wote wana matamanio na vipaumbele sawia.
Jamii yetu ina unyanyapaa wa kijima mkubwa sana. Na badala ya kuumaliza kadiri miaka inavyozidi, naona kama unazidi tu.
 
Mimi ni mwanamme. Nina mke wangu tunaishi happily everafter, in laughter. Miaka 12 sasa.

Sasa nimetendwaje hapo?

Tanzania hatuwezi kuendelea mpaka tuache hizi tabia za umbea umbea usio na tija, tena ni aibu kwa wanaume kufanya umbea huu.

Habari hizi hazina tofauti na ule utamaduni wa Uswahilini wa kwenda kuangalia katika majalala nani kala mayai na nani kala dagaa.

Acheni kila mtu aishi anavyotaka.

Ilimradi ni mtu mzima, hakuvunja sheria na hajakuingilia katika maisha yako.

Ukimfuatilia mtu zaidi ya hapo huo ni ushamba, ujima na unyanyapaa.
Mr Al Watan sidhani kama mleta mada ana maana ya kuchnguzana, bali kaleta utafiti wake jamvini watu wajadili na hasa amewaonya wanawake wasomi wasijikweze .

Huo uhuru unaosema kila moja anataka aishi anavyotaka. Hakutakuwa na maadili katika jamii na taifa kwa ujumla, na hayo maendeleo unayoyasema unayoyasema hayatakuwa na maana.

Lakini pili unaposema na kukubali huyu mwanamke azae, maana yake mtoto huyo atakuwa na baba asiye na sauti, faida na malezi naye !!! Kumbuka kukosa malezi ya baba nayo ni kasoro ktk jamii. Wanawake hawa (single mothers) huwadanganya watoto wao na kuwatia sumu dhidi ya baba zao.
 
Back
Top Bottom