Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,950
- 23,242
Kwa comment hii, mkuu kuna kitu kipo nyuma ya pazia.Ndoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
Kwa comment hii, mkuu kuna kitu kipo nyuma ya pazia.Ndoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
Mr Al Watan sidhani kama mleta mada ana maana ya kuchnguzana, bali kaleta utafiti wake jamvini watu wajadili na hasa amewaonya wanawake wasomi wasijikweze .
Huo uhuru unaosema kila moja anataka aishi anavyotaka. Hakutakuwa na maadili katika jamii na taifa kwa ujumla, na hayo maendeleo unayoyasema unayoyasema hayatakuwa na maana.
Lakini pili unaposema na kukubali huyu mwanamke azae, maana yake mtoto huyo atakuwa na baba asiye na sauti, faida na malezi naye !!! Kumbuka kukosa malezi ya baba nayo ni kasoro ktk jamii. Wanawake hawa (single mothers) huwadanganya watoto wao na kuwatia sumu dhidi ya baba zao.
Wapi nimeandika Mimi Mke Wa MTU?Inawezekana wewe ndo chanzo cha mateso,jisahihishe. Mama yako mzazi angekuwa na akili kama yako,huenda usingefika ulipo.
Lazima uwaze hivyo....Kwa comment hii, mkuu kuna kitu kipo nyuma ya pazia.
There is a tendency for underdeveloped societies to be unrealistically anchored towards a quixotically quaint sense of chastisty.
Wanaume wa kiafrika ni tatizo kubwa sana...kwanza kwa sasa hata makazini wanaongoza kwa umbea sijui wameingiliwa na nini...Kuna kiu fulani, hususan kwa wanaume ambao ama wameumizwa, ama hawajitambui, ama hawajiamini, ama wana roho mbaya tu, kutaka kuwakandamiza, kuwabeza na kuwazodoa wanawake kwa visingizio vyao vyovyote vya sababu za uongo na kweli za kulundika watu kwa mafungu.
Mwanamme anayejitambua atatulia kufuatilia habari zake na mkewe. Kuanza kuongelea mwanamke gani hajaolewa kwa sababu ya usomi wake, anazaa bila kuolewa, wakati hujaulizwa, wala hujui vipaumbele vya watu tofauti katika maisha ni nini si tu ni ujima wa kuchunguzanachunguzana na kufuatanafuatana, ni umbea ambao mtu mume anayejielewa hatakiwi kushiriki.
Kama ni umbea leta utafiti wako juu ya jambo hili !! Naona na wewe umeingia mtego wa kumhukumu mleta uzi.Unaharibu maana nzima ya neno "utafiti".
Kilicholetwa hapa ni umbea ambao hauna ushahidi, muelekeo wala sababu ya maana.
Maadili ni kuheshimu maamuzi ya mtu mzima mwingine aishi anavyotaka. Ilimradi hajavunja sheria au kukuingilia wewe naishani mwako. Hususan kama humjui. Sasa unapo mnyanyapaa mtu aliyeamua kuishi kivyake, hajakuomba kitu, wewe una maadili gani?
Unajuaje mahusiano ya huyo mwanamke na baba wa mtoto yalikuwaje na sababu gani zimemfanya huyo mama asiwe pamoja na baba? Unalaumu baba hayupo kumlea mtoto, akiwepo na kumuua mtoto utafurahi?
Bottom line, usipende kujichomeka kwenye maisha ya watu wazima wengine walioamua kuishi kivyao.
Pigania maisha yako.
Kujichomeka hivyo ni ujima wa kijinga sana.
Obama kalelewa na single mother yule kaenda kuwa rais wa Marekani.
Kwa kauli zenu za jumla jumla za kijinga, mtu single mother kama mama yake Obama aliye bongo mtamsimanga kwa maneno ya unyanyapaa.
Endeleeni kuwasema watu nsiowajua wameanzia wapi na kuishia wapu.
Kama ni umbea leta utafiti wako juu ya jambo hili !! Naona na wewe umeingia mtego wa kumhukumu mleta uzi.
Unapolinganisha maisha aliopitia Obama kama hoja msingi si sawa na nakumbuka Obama alimtafuta baba yake japo bahati mbaya mzee yule alishakufa.
Unaposema anaishi lwa uhuru wake hajaomba msaada wa mtu si sawa. Kaomba mbegu za mtu, au kachukuwa mbegu za mtu halafu huyo mtu ananyimwa haki ya wajibu wa baba kwa mwanaye !! SINGLE MOTHERS ZIJE KWA BAHATI MBAYA e.g. kifo na talaka lakini si kwa ujivuni wa kisomi na kujikweza
Vinginevyo nakuombea mr. Al Watan uje uzae wasimbe kama ni vizuri ati tu kwa sababu ya uhuru na usomi.
bby hyo avatar ni wewe? nimependaNdoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
Hapo ushafanya assumptions kibao ambazo hazina msingi katika ukweli.Vidada vikisha kuwa na videgree vinajifanya vijanja, vijuaji, vina tamaa sana, vinataka kutawala wanaume, wanajiona wao hawababaishwi na wanaume, so most of time wanaume ni wajanja naturally, wakishaona mwanamke mjuaji, unamla kisawa sawa, unasepa, sbb nature huwezi geuza, mwanaume ni mwanaume na itabakia hivyo milele, sasa wanawake wengi wenye degree wanataka kutawala wanaume au kuwa juu yao, hapo hakuna ndoa au maisha ya wawili hayatawezekana katu..!!
Sio kazini tu hata humu jukwaani kwenye thread za kimbea utawakuta wamejazana wanakula ubuyu kwa tambo zote bila aibuWanaume wa kiafrika ni tatizo kubwa sana...kwanza kwa sasa hata makazini wanaongoza kwa umbea sijui wameingiliwa na nini...
Victim pole, ila mnaliwa kirahisi hadi raaaahaNdoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
unasibiri nn mpendwa unachelewa raha ww???? Ngoja nikuombee ili umpate mume sahihi, upo tayari??Sijawahi kuwa Na Ndoa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] c unajua ukipiga sana hawatakuja KANISANIJAMANI MM NIMESEMA KAMA MCHUNGAJI NAOMNA WADADA MSINICHUKIE. NINAWAPENDA MAANA NAJUA MUNGU ANAWEZA KUWARUDISHIA THAMANI ZENU.
Sentensi hii ime act kama Bulletproof.Hii tunaita kupiga na kuomba msamaha.
Kwa jinsi unavyojivuna kwenye haya maandishi yako huna tofauti na wanawake anaowasema mleta mada..una maringo ya kishamba sana eti "Do you even understand what that means? Kwahiyo unamuona mwenzio gharasa sana?Mimi ni libertarian.
Unaelewa maana yake nini hilo neno?
Kanuni yangu ya maisha ni kwamba, nafuatilia maisha yangu. Mtu baki akiamua kuzaa ndani ya ndoa au bila ndoa, almuradi hajazaa na mimi na haniingilii maishani mwangu, hiyo ni haki yake ya kikatiba, anaruhusiwa kufanya hivyo na sheria, Universal Declaration of Human Rights inamruhusu.
Mimi nitaanzia wapi kumnyanyapaa kuhusu suala lililo ndani ya haki yake?
Whats next? Utataka kumpangia na chakula gani ale na kipi asile?
Unaelewa kwamba the burden of proof is on the one asserting, nit the one dissenting?
Do you even understand what that means?
Dalili za kukata tamaa hizoNdoa zenyewe mateso si bora uzae ujijue upo single kuliko kuishi na mume jina
[emoji3][emoji3][emoji3]Dalili za kukata tamaa hizo