New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 471
- 764
jamaniSawa subiri wanakuja
AminaMungu ajibu ombi lako haraka iwezekanavyo.
Mimaona... kama hana hela same to me, hawezi akawa na mvuto...π€£Mungu ajibu ombi lako haraka iwezekanavyo.
Nafasi hiyo Chica!Sawa subiri wanakuja
Wenyewe hawatafutagi wanajipatia tu πMimaona... kama hana hela same to me, hawezi akawa na mvuto...π€£
Ndio maana hata mimi niliishiwa pawa ya kupata jagina...πͺWenyewe hawatafutagi wanajipatia tu π
Kwa sababu wako na power
Yupo kama uncle au namna gani?Ndio maana hata mimi niliishiwa pawa ya kupata jagina...πͺView attachment 3636265
Ukimuona singo maza, naomba unisamehe mimi pia ni singo faza hapa kijijini mpigamiti...Nafasi hiyo Chica!
Nimesha kucheck PM πYupo kama uncle au namna gani?
Nice guy siowakuu kwema ?
Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu
Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer
Ninajua kupika, kufua vizuri π
Asalamaleko shekhemishe international businessman + Engineer
Mimi ni mtoto wa mungu mkuu wangu sio mjinga mjingaNice guy sio
Ww hutak kupanda βοΈSawa subiri wanakuja