Mimi najifahamu mwenyewe ni mwanamke na baadhi ya memba wananifahamu. Kama kuna mtu anakomaa kusema mimi ni mwanaume hilo ni tatizo lake binafsi na hiyo haitanifanya niwe vinginevyo