Wadada wanaokimbia ndoa zao na kwenda kuzaa nje, jifunzeni kwenye mgogoro wa Zari na Marehemu mumewe

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,909
Wakuu,

Na uhakika kupitia huu mgogoro unaoendelea kati ya Zari ambaye ni mke halali wa Marehemu Ivan aliyezaa naye watoto watatu, kuna fundisho wadada na wamama watajifunza, tabia hii ya kukimbia ndoa ambayo umebahatika kuzaa na kwenda kufanya uzinzi na mwanaume mwingine.

Najua humu mko wengi ila kuweni tayari kujifunza.
 
Kwahiyo kama ndoa ni mateso uvumilie tu hadi siku afe ili urithi hadi miswaki????

Hakuna Ndoa Yenye Mateso Kama Mke Umejaliwa na Akili ya Utambuzi... Ukiona Ndoa ina Mateso basi Mwenye Tatizo na Mke au Mwanamke aliingia kwenye Ndoa bila Kujua Majukumu yake ni Yapi Ndani ya Ndoa...

Nipo Tayari kusahihishwa .... Ndoa Yote Inajengwa na Mwanamke siyo Mwanaume. Ukiona Ndoa ina Mateso Basi mwanamke anakasoro Nyingi
 
Mtoa post nikupongeze sana kwa ujumbe mzuri pia umesahau kitu hapo sina uhakika kama zari na ivan walishawahi kufunga ndoa

Itakuwa michezo yao ndio kama huu wa mondi watoto wawili bila ndoa

Alafu kesho mondi asipokuwepo unategemea zari ana chake wakati hamna ndoa?

Hata ukienda mahakamani cha kwanza watahitaji cheti cha ndoa ili upate mali kama huna hapo mali zote zinaenda kwa ndugu

Nawakumbusha akina dada michezo ya kuzaa watoto bila ndoa acheni

Unakimbilia mali wakati cheti cha ndoa huna na ulishaachika, nani akupe mali?
 
Hakuna Ndoa Yenye Mateso Kama Mke Umejaliwa na Akili ya Utambuzi... Ukiona Ndoa ina Mateso basi Mwenye Tatizo na Mke au Mwanamke aliingia kwenye Ndoa bila Kujua Majukumu yake ni Yapi Ndani ya Ndoa...

Nipo Tayari kusahihishwa .... Ndoa Yote Inajengwa na Mwanamke siyo Mwanaume. Ukiona Ndoa ina Mateso Basi mwanamke anakasoro Nyingi
Umeongea kitu kikubwa lkn unaweza usieleweke kwa wenye akili ndogo
 
Mtoa post nikupongeze sana kwa ujumbe mzuri pia umesahau kitu hapo sina uhakika kama zari na ivan walishawahi kufunga ndoa

Itakuwa michezo yao ndio kama huu wa mondi watoto wawili bila ndoa

Alafu kesho mondi asipokuwepo unategemea zari ana chake wakati hamna ndoa?

Mkuu walifunga Ndoa za Kimila, na Ndoa za Kimila zina Nguvu Kubwa kuliko Ndoa za Kanisani kwa Baadhi ya Maeneo as long as taratibu zote za Mahali na Kabila lile zikifuatwa.

Nina Uhakika Mondi hajatoa Mahari kwa akina Zari.... Na Kunavyofukutwa Zari anajitetea kuwa hata huyu Mtoto wa Mwisho ni wa Marehemu..

Muda ni Faida, ila Lengo la Mada hii ni Dada zangu Mama zangu ambao wamekuwa wakifanya makosa kama Haya wajifunze Kitu..

All African Women are the Same....... and all African Culture are the Same.
 
Ficha ujinga wako basi. Wanawake wajifunze ila wanaumr wasijifunze eehhh basi ndia itabidi iwe wanawake kwa wanawake. Ukizaa na kimeo ubaki tu ili ufe akuzike aoe kabla ya 40! Hapana kwakweli okoa roho yako mambo yakizidi kipimo.
Maisha aliyoishi Ivan kama darasa la saba kujionyesha tu sio. Zari hagombei mali wala hafanyi vibaya ila anatetea haki ya watoto wake. Mkigombana mkiwa mmezaa tena mna mali mlichuma mali ni za watoto
 
Mkuu walifunga Ndoa za Kimila, na Ndoa za Kimila zina Nguvu Kubwa kuliko Ndoa za Kanisani kwa Baadhi ya Maeneo as long as taratibu zote za Mahali na Kabila lile zikifuatwa.

Nina Uhakika Mondi hajatoa Mahari kwa akina Zari.... Na Kunavyofukutwa Zari anajitetea kuwa hata huyu Mtoto wa Mwisho ni wa Marehemu..

Muda ni Faida, ila Lengo la Mada hii ni Dada zangu Mama zangu ambao wamekuwa wakifanya makosa kama Haya wajifunze Kitu..

All African Women are the Same....... and all African Culture are the Same.
Hata kama walifunga ndoa ya kimila mkuu ishu yenye utata hapo na itakayommaliza zari ni kuachana na mmewe na kwenda kuzaa na mwanaume mwingine hapo ndio atabanwa na hatapata kitu

Na ndugu zake ivan wanaonekana hata wao wenyewe mambo yao ni safi na kichwani zimo so hapo zari ajiandae tu kisaikolojia
 
Back
Top Bottom