Wadada wakibogo bana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada wakibogo bana

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MPAMBANAJI.COM, Feb 19, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  :focus:
  Katika mazingira yanayoashiria fikra za maisha, wakati mwingine ni kishekesho na uhalisia.Wengi wa wadada wa Tz wamejipanga katika maisha ya kuchuna.sisemi wewe unayesoma thred .Msamiati wa mafiga matatu upo tena sana.Inasikitisha sana kuona wengi wanashabikia mazingira haya.Majuzi tuu msichana na umaarufu wake kaolewa na jamaa/ figa lake yupo kwenye kamati. hii ni kichefuchefu.Yupo na mwanaume lakini hajiamini.Jamn wadada badilikeni.Maisha yapo na yatakuwepo jamniiiiiii. Tengeneza msingi ukiwa naye.Tuachane na tamaaa.
   
 2. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  just a cycle

  Naye ajiandae unakuta mpambaj ukumbi ni dem wa bwn harus.

  khe khe khe khe khe
   
 3. Z

  Zero_brain Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa yawapasa wabadilike Tamaa mbaya "Tamaa mbaya"
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  haya sasa.......
   
Loading...