wadada wa kibongo wapo juuu......

Naomba full address za huyo mwenye red. Labda nitapenda.
 
Huyo dada aliyevaa nguo nyekundu anaitwa PENDO before alikuwa anafanya kazi MILLENIUM TOWERS kabla ya kushiriki MISS TANZANIA anakaa Kijitonyama sijui kama atakuwa amehama mara ya mwisho nilimuona Rose Garden alikuwa amekaa na akina Kinje, Lau Masha na wadada wengine
 
Y do i feel jestina upo hapo kwenye picha... Tatizo tu wakaka washaivuruga hata mood ya kujitaja kwa kuponda...! BUT y'all look stunning kusema kweli!!
 
nikisoma coments za wakaka naanza kuamini blog ya mange wakaka wa kibongo hawajui thamani yetu sie wanawake,mpo tayari kuponda mdada msiyemjua mnanishangaza
<br />
<br />
ahahahaha tatizo mange anamashauzi ndo mana wanakaponda miguu alafu picha za watu wengine haweki anaweka zake na rafiki zake.last tym nlikuta kaweka picha kuna m2 akamwambia anarangi kama maiti .loo cjarud tena
 
Back
Top Bottom