Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,936
- 3,938
Huu ukimya hadi una unakera na kutupa wasi wasi
Usineseme mkuu🤣🤣Kuna Komenti imefutwa Ghafla 😂😂
Kaogopa kujibu hapa kani pm eti kasema nyie ni wamama😊Kwahiyo sisi tuliopo ni wababa 🥹
Nami pia nna siku sijawaona, sijui wamepotelea wapidosho12 hivi Mallerina kapotea wapi
Na Binti wa zamani mmoja anachukua nafasi y wanawake elf 3 wa if
Nilidhani umemficha mmoja 😅Nami pia nna siku sijawaona, sijui wamepotelea wapi
Aaa basi nishaelewa kwahiyo anawaita watoto wa afu mbili?? Atachoka kusubiri aendane na mazingira tu kwa sasa.Kaogopa kujibu hapa kani pm eti kasema nyie ni wamama😊
Nipo ila Binti wa zamani kapotea mno ata pm haonekanidosho12 hivi Mallerina kapotea wapi
Na Binti wa zamani mmoja anachukua nafasi y wanawake elf 3 wa jf
Unatakaje?Ni kweli wamepungua sana!!
Uwepo shindii, mtani kila siku anakuuliziaUnatakaje?
Yule dada mwenzio pasua kichwa yuko wapi?Unatakaje?