Wadada wa jf njooni hapa

Kabisa ukipotea tena una shida pahala
Kabisa

Wabongo hatuwezi long distance relationship.

Tumezoea kuloweka na kulowekana Kila Siku, kitendo cha kuishi mikoa tofauti na mpenzi wako ni kumpa sababu ya usaliti mpenzi wako
 
Dah πŸ˜‚
Watu wenye akili afrika mashariki na kati..
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Juzi kati huko nililu zoom azam complex kule ukiwa na camera zako, ndo nikajua kumbe we ni mti mbad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…