Kidimbwi kweli🤔Nikupeleke hata beach kidimbwi basi ukaonje moja
Ni kutoka maandishi yake hapa Jf kama wewe unavoteseka na maandishi ya wadada wanapoandika uzi jf.Ulimkuta
Tunawazoom tuu😂😂😂😂😂Wengine ni bibi zenu
Wewe mwenyewe uzi wako umebase kwenye maandishi ya jf. Kuna ubaya nikikupa mfano toka kwenye hayo hayo maandishi ya Jf?Maandishi tu ndo yakuaminishe