Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,400
- 2,882
Hennessy ndio nini😅😅😅😅😅
Whisky
Hennessy ndio nini😅😅😅😅😅
OkWhisky
Mbona mimi siwaoni wadada wa hivyo humu? Uwe unanitag nioneStory yeyote inayoletwa na mdada humu jukwaani utakuta anaelezea mazingira ya maisha safi, anakula hotelini, anatembelea beach fulani hivi amazing. Kila mdada humu msomi hajawahi kuachwa na anaishi masaki. Kila mwisho wa mwezi anaenda vacation ana gari na anakunywa chupa 3 za hennessy kila wiki.
Akila chipsi yai lazima abakize na popcorn hamalizagi, chakula cha mchana analia samakisamaki mlimani city na mapumziko yake ni cape verde Zanzibar kula fungate, aisee wadada wa Jf siwawezi kwakweli.
Asante rafiki, angalau leo upo upande wetuKoma kusumbua hawa dada zangu
Mkuu tambua kwamba kwa sasa nchi ipo katika uchumi wa kati tumebakiza hatua moja tu kufikia uchumi wa juu ili tuwe kama wazungu. Kwahiyo hayo mambo kwa watu wa uchumi wa kati ni kawaida kula hotelini, kuendesha mandinga, vacation nk. Kama wewe hujafika jitahidi mkuu utaachwaStory yeyote inayoletwa na mdada humu jukwaani utakuta anaelezea mazingira ya maisha safi, anakula hotelini, anatembelea beach fulani hivi amazing. Kila mdada humu msomi hajawahi kuachwa na anaishi masaki. Kila mwisho wa mwezi anaenda vacation ana gari na anakunywa chupa 3 za hennessy kila wiki.
Akila chipsi yai lazima abakize na popcorn hamalizagi, chakula cha mchana analia samakisamaki mlimani city na mapumziko yake ni cape verde Zanzibar kula fungate, aisee wadada wa Jf siwawezi kwakweli.
Mbona mimi siwaoni wadada wa hivyo humu? Uwe unanitag nione
acha wivu bwanaSawa jidanganye
Huijui au makusudi wewe mama D
Haki mimi siijui😂😂😂😂Mama D unaniaibisha
Behaviorist leo😍🥂👍Koma kusumbua hawa dada zangu
Kwa kweliAsante rafiki, angalau leo upo upande wetu