Wadada wa JF mnanipa burudani kwakweli

Wadada wa JF mnanipa burudani kwakweli

Story yeyote inayoletwa na mdada humu jukwaani utakuta anaelezea mazingira ya maisha safi, anakula hotelini, anatembelea beach fulani hivi amazing. Kila mdada humu msomi hajawahi kuachwa na anaishi masaki. Kila mwisho wa mwezi anaenda vacation ana gari na anakunywa chupa 3 za hennessy kila wiki.
Akila chipsi yai lazima abakize na popcorn hamalizagi, chakula cha mchana analia samakisamaki mlimani city na mapumziko yake ni cape verde Zanzibar kula fungate, aisee wadada wa Jf siwawezi kwakweli.
Unajuaje umesoma story zote zinazoletwa na wadada humu jukwaani?
 
Anapiga ramli chonganishi
Hawa wengine usikute washapigwa vibuti kadhaa kwenye PM, wanakuja kumalizia ugwadu wao huku nje.

Haiyumkiniki mtu anayejua idadi ya members wa JF asome mada zote zinazoletwa na wadada hapa JF na kuona mabobish.
 
Hata siijui ladha yake dear 😀

Hizo KILA zake siku zitakuja kum'disappoint aje kulia lia hapa.
Aache kujumuisha na kila zake bhana

Mbona mie nishaandikaga humu mara kibao kwamba nimeachwa asee
 
Hawa wengine usikute washapigwa vibuti kadhaa kwenye PM, wanakuja kumalizia ugwadu wao huku nje.

Haiyumkiniki mtu anayejua idadi ya members wa JF asome mada zote zinazoletwa na wadada hapa JF na kuona mabobish.
Nishasoma 90%
 
Nimesoma 90%
Kwanza ulianza "story yoyote", sasa umekuja na "90%".

Hiyo 90% umeipataje?

Ni 90% ya jumla ya posts ngapi? Umeanza kusoma lini mpaka lini? Umetumia muda gani kusoma zote hizo? Unajuaje huyu mdada na huyu si mdada katika forum ambayo watu hawaweki majina hadharani?
 
Kwani we huwezi kujua kama story fulani ya mdada
 
Story yeyote inayoletwa na mdada humu jukwaani utakuta anaelezea mazingira ya maisha safi, anakula hotelini, anatembelea beach fulani hivi amazing. Kila mdada humu msomi hajawahi kuachwa na anaishi masaki. Kila mwisho wa mwezi anaenda vacation ana gari na anakunywa chupa 3 za hennessy kila wiki.
Akila chipsi yai lazima abakize na popcorn hamalizagi, chakula cha mchana analia samakisamaki mlimani city na mapumziko yake ni cape verde Zanzibar kula fungate, aisee wadada wa Jf siwawezi kwakweli.

Mmmmhhhh unamarineti mtu nini
 
Mademu wa JF bwana wao ni kiduki Lilo bro usiwachukulie poaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom