Wadada wa JF mnanipa burudani kwakweli

Halafu nyie mnaosema wadada wa humu wako smart hebu mtuambie mnazingatia nini kwani kwenye kujiunga humu wanafanyiwa interview au??
Ina maana mkuu hujaona utofauti wa uandishi kati ya Jf na insta au Facebook. ?? Wakati mwingine mtu anachoandika kina reflect uhalisia wa maisha yake
 
Humu wengi wao (sio wote) ni single mothers wenye kazi zao na ndio maana utakuta nyuzi nyingi wanashadadia mambo ya Kijinsia sana ambayo yanapototeza jamii ya dada zetu.
Mie nimewahi kutana na wadada karibia kumi ila si kimapenzi bali kama marafiki basi. Ni single mothers ambao wanajitambua kiasi fulani. Range ya age yao inaanzia 24 and above ndio maana hata kuandika kwao kumetulia.
NB: Hii ni ID yangu private kwa ajili ya kujivinjali zaidi bila kufahamika
 
Mkuuu huyo mdada ulimtoa PM Nini?..mbona Mimi hata chupa ya Hennessy Sijui inafananaje?
Tena Mimi naishi Dodoma huko masaki vepeeeeee..

Wewe Miaka 50 unaangaika Nini Mkuu...
Tulia na mkeo huko
 
Ina maana mkuu hujaona utofauti wa uandishi kati ya Jf na insta au Facebook. ?? Wakati mwingine mtu anachoandika kina reflect uhalisia wa maisha yake
Mbona insta ndo hawahawa wa jf
 
Humu wengi wao (sio wote) ni single mothers wenye kazi zao na ndio maana utakuta nyuzi nyingi wanashadadia mambo ya Kijinsia sana ambayo yanapototeza jamii ya dada zetu.
Mie nimewahi kutana na wadada karibia kumi ila si kimapenzi bali kama marafiki basi. Ni single mothers ambao wanajitambua kiasi fulani. Range ya age yao inaanzia 24 and above ndio maana hata kuandika kwao kumetulia.
NB: Hii ni ID yangu private kwa ajili ya kujivinjali zaidi bila kufahamika
Sawa mkuu
 
Hao wote walikuwa single mother? Asee mabaharia wamefanya yao kisha wakasepa.
 
Story yeyote inayoletwa na mdada humu jukwaani utakuta anaelezea mazingira ya maisha safi, anakula hotelini, anatembelea beach fulani hivi amazing. Kila mdada humu msomi hajawahi kuachwa na anaishi masaki. Kila mwisho wa mwezi anaenda vacation ana gari na anakunywa chupa 3 za hennessy kila wiki.
Akila chipsi yai lazima abakize na popcorn hamalizagi, chakula cha mchana analia samakisamaki mlimani city na mapumziko yake ni cape verde Zanzibar kula fungate, aisee wadada wa Jf siwawezi kwakweli.
Unaongelea wadada gani kwani,,,,,,,,,?

Au mi sijaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom