Wadada wa instagram na Facebook.

Unakuja kwa kuibia kama fisi kwenye kundi la simba?

Wanawake wanaojifanyaga wana symphathy ndo hatari sana maana huwa ni waongeaji sana na kusambaza drama za kijinga
Doooh kila mtu ni adui yako ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hivi ni lini utapevuka kiakili wewe ?
Itafikia kipindi maisha ya humu utayaona magumu kwa sababu inaweza ikaanIshwa kampeni watu wasiwe wana interact na nyuzi zako.
 
Anzisha na uzidi kuniweka trending mkuu, nasubiri kwa hamu sana...

Fungua uzi title iwe: msimpe attention de Gunner maana anajipakulia minyama sana.
 
Wakuu
ephen_
binti kiziwi
The Monk
BICHWA KOMWE -
Bush Dokta

Huyu dogo anataka kuwazoea watu vibaya hata kama wanatumia utambulisho feki, nawaomba mum uwekezaji kwenye ignore list zenu angalau kwa wiki moja. Maana kuna msemo unasema Mbwa akikuzoea atakufuata mpaka sehemu za ibada.
Nimeshamuweka kwenye ignore kwa wiki moja kwanza
 
Mkuu umekosea move mbaya hiyoo ungelifungua uzi kabisa member wote waone
 
Dogo hata kama upo nyuma ya keyboard onyesha adabu basi. Halafu usione huu ujinga unaoandika na watu wana comment ukajiona we ni mjanja.

Heshimu I'd za watu aisee. Naanza kukuona we una utahira fulani kichwani.
Ndio unaanza kuona sasa hivi mkuu?
 
Mimi pia nilala nikaamka nakutana na uzi sijui kama kuna sehemu nilionakana cheap au la pengine sijui

Lakini hakuna kitu sipendi kama use*nge wa kuanzishiana nyuzi ๐Ÿšฎ
Ila wanawake bwana kwa hiyo na wewe huwa unajiona unathamani? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Kwa kipi? Hebu kaa kwa kutulia, hauna uspesho wa aina yoyote wewe, your just like another girl in my neighborhood
 
Ila wanawake bwana kwa hiyo na wewe huwa unajiona unathamani? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Kwa kipi? Hebu kaa kwa kutulia, hauna uspesho wa aina yoyote wewe, your just like another girl in my neighborhood
Ila humu jamani
Si ndio huyu binti ulimfungulia Uzi ukielezea feelings zako Leo unamjibu hivi?
 
Ila humu jamani
Si ndio huyu binti ulimfungulia Uzi ukielezea feelings zako Leo unamjibu hivi?
Umesoma alicho andika??

Najipa umuhimu wa kudhani yeye ni wa muhimu so nnimeamua kumkumbusha yeye ni wa kawaida sana
 
sawa
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ