Wadada wa barber shop...mh...

Siku 1 nilikua nasimamia harusi ya mshikaji wangu 1 na tukaenda saloon kufanywa hayo makitu, mmh, mtu wa video nae akawa mchokozi, akachukua kila kitu then ukumbuni muda wa misosi akaweka hiyo clip ya saloon, kidogo nivunje ndoa yangu, wife ali- mind kweli kweli, so naomba muwe waangalifu!
 
 
Hahahaaa..bro changamoto mbele ya baba, mama mkwe na wife...hahaa bad image
 
Hata wale mabaunsa wa pale uchumi wana tabia hiyo hiyo ya kuomba omba hela, wanaudhi kweli hawa jamaa..miili mikumbwa , misuli ya kufa mtu lkn akili hawana
 
yap kama unatoaga tip basi scrub atarudia hata mara 3 ila kama hutoagi tip basi scrub inafanyika round 1 tu dk 5-10 unaoshwa ishia!!!
hakika hii ni starehe mojawapo ila kufanya massage kwa kweli ni kutiana majaribuni naishia apa!!! nadhan 90% ya jamaa wanaofanya massage watakua wameomba kumaliza kabisa na wamepewa staki kujiingiza ktk majaribu hayo hii scrub tu noma!!!
 
Hapo ndipo patamu, ukute mtoto mwenye hajui kuogopa, anakufungua shati inabita mikono laini kifuani...Dah, hivi kunachuo wanapitia?

mh! em usiendelee kudiskraibu hizo raha zenu za huko. Nataka staki: Sasa anabitisha mikono kifuani kufanya nini huko? Na nyie siku hizi mnahudumiwa nywele zaidi ya zile za kichwani? Na wax ya kwenye boxer wanawafanyia pia? Wakifika huko basi hatuna budi kuwasahau majumbani!
 
sasa pale wanapokiweka kichwa chao katikati ya mitindi yao ndio kasheshe.

nikimkuta mume wng katika hali hii naeza nikafa ghafla.. marufuku kufanya scrub au massage salon
 
Opsss cjui waume zetu watapona kwa hilii khaaa!!
 
wew ulishapewa hiyo huduma nyingine? inaonekana unawataman/ au pengine unagegeda!
kua makini macho hutaman hata visivyofaa, Ukimwi upo pia magonjwa mengine ya zinaa!
 
Wale wa pale Morocco madada wanakushika dudu bila ridhaa yako bana!
Lkn inafurahisha sana nikajivunga kama sikufurahishwa sababu nilikuwa na shemeji!
Nikarudi pekee yangu kesho yake ehehehehe
 

Kiukweli nawachukia kupitiliza wengine Kuna maeneo hayashikwi hivi hivi tuu halafu yeye ndo anapeleka mavidole yake huko nikihemkwa je ? Wallah tunamalizana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…