ila mkuu wanasema wazoefu wa haya mambo kuwa kuoa sio kuwa na kazi,pesa,nk kikubwa tu uwe na sehemu ya kulala binti anayekupenda jamvini mtalala pia atatoa ridhiki kulingana na waliopo katika nyumba yako. vipi imekaaje iyo mkuu. kwani hujawahi ona kijana yupo single ila kula yake ni ya taabu ila kuna mtu anategemewa na watu kama 20 na wote wanaishiEspecially kwa era hii ya Magu,kauli ya kujipanga itatumika zaiiiDi maana furushi Halionekani+Vitu bei top..ss Unaanzaje kuoa ilhali Ramani hazisomeki, uatajikuta unaolea Wana tu
True Mkuu..ila mkuu wanasema wazoefu wa haya mambo kuwa kuoa sio kuwa na kazi,pesa,nk kikubwa tu uwe na sehemu ya kulala binti anayekupenda jamvini mtalala pia atatoa ridhiki kulingana na waliopo katika nyumba yako. vipi imekaaje iyo mkuu. kwani hujawahi ona kijana yupo single ila kula yake ni ya taabu ila kuna mtu anategemewa na watu kama 20 na wote wanaishi
ila wachache sana kukupenda ukiwa hauna hela na hapo ndo wa kumjua anayekupenda na je ukiwa na pesa si atakuja kukuacha mkuuTrue Mkuu..
Sema suala la uchumi ktk mahusiano ni factor ya Msingi sana, uchumi km haujakaa vizuri ni asilimia nDogo sana ya wanawake wenye Nadhiri ya kweli ya kuishi na wanaume wa Namna hiyo,..
yaap maana True love is unconditional so ni issue ambayo Iko 50/50 or 60/40 inacheza pote
ila wachache sana kukupenda ukiwa hauna hela na hapo ndo wa kumjua anayekupenda na je ukiwa na pesa si atakuja kukuacha mkuu
In the end hakuna fairness kwenye mapenzi, iwe kwa wanaume au wanawake.Na nyie wanaowapenda mkiwa kwenye mawe huwa mnawavuruga mkifanikiwa.
Ni kweli kabisa.In the end hakuna fairness kwenye mapenzi, iwe kwa wanaume au wanawake.
daa umenikumbusha kuna dada nilikuwa napenda kumpa lifti nikiwa natoka kazini mala kwa mala basi siku moja nikaona ngoja nisafishe maneno yangu kwake si akakubali nikawa nampeleka geto chaa ajabu hata akija saa nne usiku unakuta mala anadeki kuanzia sebuleni paka chumbani wakati kuna mdada hua namlipa anakuja kila baada ya siku tatu kwaajili ya kunifuria na usafi wa ndani sasa basi siku moja nikiwa nacheki facebook ndipo nilipo shangaa mapicha yangu yote kayajaza kwenye account yake huku akijipambanua kuwa mme wake mtarajiwa ilikuwa kazi kumuacha huyu mtu jamani dada zangu kama mwanaume anataka kukuoa mwenyewe tu utamuona haina hata haja ya kumkumbushaHabari MMU,
Nimekutana na hii story kwenye group letu uko mdada anasema anapendana vizuri na mpenzi wake na kila mtu anaishi kwake wapo kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana. Anasema mwanaume ana kazi nzuri sana ana kila kitu ila akimwambia amuoe mwanaume anamwambia hajajipanga na kuna muda wanagombana akianzisha swala la ndoa.
Wadada wenzangu ndoa hailazimishwi kabisa mwanaume mwenyewe atakuja atakwambia baby nahitaji kukuoa naomba unipeleke kwenu. Haya mambo ya kumlazimisha mwanaume mwisho wa siku ndoa haina amani mwanaume kukurudia usiku wa manane ukimuuliza na kupigwa utapigwa.
Kingine kama Mungu kakuandikia wewe ni wa kuolewa utaolewa tu kama ni wa kudanga utadanga tu, tusikate tamaa hata umri ukienda vipi ipo siku tu.
hahahhh kwahiyo ilibidi tu umuoe kwa kulazimishwadaa umenikumbusha kuna dada nilikuwa napenda kumpa lifti nikiwa natoka kazini mala kwa mala basi siku moja nikaona ngoja nisafishe maneno yangu kwake si akakubali nikawa nampeleka geto chaa ajabu hata akija saa nne usiku unakuta mala anadeki kuanzia sebuleni paka chumbani wakati kuna mdada hua namlipa anakuja kila baada ya siku tatu kwaajili ya kunifuria na usafi wa ndani sasa basi siku moja nikiwa nacheki facebook ndipo nilipo shangaa mapicha yangu yote kayajaza kwenye account yake huku akijipambanua kuwa mme wake mtarajiwa ilikuwa kazi kumuacha huyu mtu jamani dada zangu kama mwanaume anataka kukuoa mwenyewe tu utamuona haina hata haja ya kumkumbusha
daa umenikumbusha kuna dada nilikuwa napenda kumpa lifti nikiwa natoka kazini mala kwa mala basi siku moja nikaona ngoja nisafishe maneno yangu kwake si akakubali nikawa nampeleka geto chaa ajabu hata akija saa nne usiku unakuta mala anadeki kuanzia sebuleni paka chumbani wakati kuna mdada hua namlipa anakuja kila baada ya siku tatu kwaajili ya kunifuria na usafi wa ndani sasa basi siku moja nikiwa nacheki facebook ndipo nilipo shangaa mapicha yangu yote kayajaza kwenye account yake huku akijipambanua kuwa mme wake mtarajiwa ilikuwa kazi kumuacha huyu mtu jamani dada zangu kama mwanaume anataka kukuoa mwenyewe tu utamuona haina hata haja ya kumkumbusha
Wewe....husna pita hapa usikute yanakuhusu
aiseeeuna maisha kama yangu.. mimi nina mdada namlipa anakuja kunifanyia usafi na kunifulia na kwa wiki mara mbili...
ila nyumba yangu ni safi mda wote nashukuru huyo dada anajitambua... nachoshangaaga ukija na mwanamke gheto anajifanya kusaidia kusafisha nyumba wakati anaona kabisa ni safi.... hizi ndoa hizi ni balaa kwa kweli
hapana paka sasa sijaoahahahhh kwahiyo ilibidi tu umuoe kwa kulazimishwa
sijapata wa kumuoakwahiyo bado haujaamua kuoa unakula ujana kwanza
aiseee
hahahhh Lydia's wedding huyo kiboko mpk duka alishachaguakuoa sio jambo la kukurupuka wadada wanapenda mashela kuliko ndoa...
kuna mmoja sijawaza hata kumuoa siku tunapita sinza ananionesha bonge la duka limejaa mashela limeandikwa lydia sijui jonia eti ndipo atanunua shela lake hapo la harus yetu..
yaani mtu hawazi kuandaa maisha hata umalize ujenzi yeye anawaza sherehe na shela