Kabisahahahahh sijui na yy kama alipona
Daby hapa ndio namkumbuka mangaasietaka kwenda kwenye uzi za watu

wewe unafikiri Manga kungangana kwenye uzi mmoja hana akiliacha tu bora niwe kwenye uzi wangu tu watu jinsia zao hazieleweki halaf wanaenda kwa mods mfyuuuu

Bibi mchumba nataka nikuoe wewe. Babu atakubali?
atakupiga wewe shaur yako..... 
Hahaaa.... Apo sawahuku baki huu ni wangu unakulaje ban
Alinichanganya baadae baada ya kuona uzi alioandika kama mwanaume.... Sikumuelewa kabisaaaaahivi ulielewa jinsia yake
Kwani bibi na wewe ulikula ban.![]()
![]()
atakupiga wewe shaur yako.....
Halafu mbona me hujanipa pole umpa shunie tu!!!!!![]()

Yupo vipi unataka kumpa jibu lake nimwite kaka yangu.hahahahhah yaan apa ndio nimeona umuhimu wake ila nimemmiss sijui ndio kasusa naonanga notificafion zake za like
sijui kwa nini jamii yetu hasa wanawake wanaamini mwanaume kuwa na kazi basi kashafikia vigezo vya kuoa,kazi sio eternal kesho inaweza kusepa tukiwa tayari kwenye ndoa,utafanyaje na ww utasepa kwa sababu kigezo(kazi) chako kishasepa......marriage is made in heaven.Habari MMU,
Nimekutana na hii story kwenye group letu uko mdada anasema anapendana vizuri na mpenzi wake na kila mtu anaishi kwake wapo kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana. Anasema mwanaume ana kazi nzuri sana ana kila kitu ila akimwambia amuoe mwanaume anamwambia hajajipanga na kuna muda wanagombana akianzisha swala la ndoa.
Wadada wenzangu ndoa hailazimishwi kabisa mwanaume mwenyewe atakuja atakwambia baby nahitaji kukuoa naomba unipeleke kwenu. Haya mambo ya kumlazimisha mwanaume mwisho wa siku ndoa haina amani mwanaume kukurudia usiku wa manane ukimuuliza na kupigwa utapigwa.
Kingine kama Mungu kakuandikia wewe ni wa kuolewa utaolewa tu kama ni wa kudanga utadanga tu, tusikate tamaa hata umri ukienda vipi ipo siku tu.
Jameeeeniii... Mtakosa busara za wazee...Kwani bibi na wewe ulikula ban.
Nyie mmeshazeeka lakini hata mkipumzishwa hamna shida.![]()

Ana haraka ya kumpikia jamaa teh teh tehHabari MMU,
Nimekutana na hii story kwenye group letu uko mdada anasema anapendana vizuri na mpenzi wake na kila mtu anaishi kwake wapo kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana. Anasema mwanaume ana kazi nzuri sana ana kila kitu ila akimwambia amuoe mwanaume anamwambia hajajipanga na kuna muda wanagombana akianzisha swala la ndoa.
Wadada wenzangu ndoa hailazimishwi kabisa mwanaume mwenyewe atakuja atakwambia baby nahitaji kukuoa naomba unipeleke kwenu. Haya mambo ya kumlazimisha mwanaume mwisho wa siku ndoa haina amani mwanaume kukurudia usiku wa manane ukimuuliza na kupigwa utapigwa.
Kingine kama Mungu kakuandikia wewe ni wa kuolewa utaolewa tu kama ni wa kudanga utadanga tu, tusikate tamaa hata umri ukienda vipi ipo siku tu.
weka hapa hizo mbinu wengi tunufaike pm vipiiiiiiiAna haraka ya kumpikia jamaa teh teh teh
Ndoa ni bahati na ndoa ni akili yako ndiyo ina weza kukupa ndoa sasa wengine hua wanajiona kama wako salama kabisa na hujiona kama hawana kasoro
unaweza ukawa na muonekano mzuri na unajituma kuujenga Huyo uhusiano na bado ukawa na kasoro ,
kasoro sio lazima iwe ya muonekano mtu unaweza ukawa na akili ya udhaifu ambayo inaweza kumpa jamaa damage kwahyo kaeni msubiri ndoa sisi bado tunajipanga mpaka muondoe hizo akili ndogondogo
kama uko tayari na unajiona uko na akili iliyo salama njoo dm nikupe mbinu ili uolewe