Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
- Thread starter
- #321
kweli kabisa mkuu kauli ni kila kituwanaume tunaakiri kubwa sana hivyo unapokuwa unatongozwa kuna majibu ambayo moja kwa moja humpelekea mwanaume kujua kuwa huyu ni wakupita tu ama huyu wakudumu nae kwahiyo jitaidini kuwa na majibu ya kumshawishi mwanaume akuone pengine wewe ndie wakati anakutongoza kama kweli umevutiwa nae siku moja akuoe