Wadada tusilazimishe ndoa

Wadada tusilazimishe ndoa

wanawake mna vituko sana mi nilijua ataniambia anataka awe mjasiriamali wa mashela na amiliki duka kubwa kama hilo. kumbe yeye anawaza kuwa mteja amuungishe huyo lydia kwa hela zangu eti

hahahhh Lydia's wedding huyo kiboko mpk duka alishachagua
 
si ungemuoa yule wa mwanzo unaona sasa laana yake
wanaume tunaakiri kubwa sana hivyo unapokuwa unatongozwa kuna majibu ambayo moja kwa moja humpelekea mwanaume kujua kuwa huyu ni wakupita tu ama huyu wakudumu nae kwahiyo jitaidini kuwa na majibu ya kumshawishi mwanaume akuone pengine wewe ndie wakati anakutongoza kama kweli umevutiwa nae siku moja akuoe
 
Na nyie wanaowapenda mkiwa kwenye mawe huwa mnawavuruga mkifanikiwa.
huyo atakayemvuruga hatakuwa hana akili. Ni ukweli mtu akishafanikiwa ndo mke wake atajua kama anampenda mana ataanza kuwaona wazuri na wengi watajigonga kwako ila anatakiwa ajue kuwa hela ndo zimependwa sio yeye mana bila ya hela haumpati.
 
Mpe pole shoga ako aseeh.

Ila naona kama mnatutafsiri vibaya. Kwani kuwa na kazi nzuri na kila kitu ndiyo guarantee ya kuoa?

Mwisho kwa waliopo katika uchumba wajue Sio kila mahusiano yanaishia kwenye KUOANA.

Asanteni kama kuna swali niulizwe haraka.
Daby inapaswa muwafahamu wanawake, iko hiviii, mara nyingi mwanamke anapoanzisha mahusiano basi amependa, na kama kapenda basi ujue akili yake hapo inawaza ndoa tu.
Hujawahi ona mtu anatembea na mume wa mtu alafu akitamkiwa kuachana anakuwa mkali ilihali anajua kabisaaa pale hamna ndoa? Seuse kapera tu!!

Mtu ambae yuko nawe ila walaaa hafikirii utajakuwa mumewe ujue hakupendi, kwahiyo hili unaloliongea ni gumu kidogo.
 
Duuh haya shemeji.

Tahadhari : Shunie kapigwa ban jichunge eeeh
 
Tena ni raha isokifani.
yaani weeeeeeeee acha tu, ukiwa unamuwazaaa ukae naye mahali tulivu mpige stori nayeye anayawaza hayo, kukaa naww pembeni yako bila hata ya kufanya kitu mtu unafurahii tu. acheniii mapenzi Mungu aliyaumba na shetani anaharibu kuwa ni pesa ndo upendo. enzi za adamu na hawa hakukuwa na pesa ila walipendana jamani.
 
Ila kumbuka Adamu alikuwa na kila kitu ndio akaumbiwa Hawa.
Pesa sio mapenzi bali ni chachu ya mapenzi. Kwahiyo inabidi tukubaliane na hali halisi, hatupo wakati wa Adam na Hawa ambapo hakukuwa na pesa.
 
nawewe hujalala bado tuu mkuu.
 
wanawake mna vituko sana mi nilijua ataniambia anataka awe mjasiriamali wa mashela na amiliki duka kubwa kama hilo. kumbe yeye anawaza kuwa mteja amuungishe huyo lydia kwa hela zangu eti
teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom