Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,198
- 11,632
Huyu anachana kweli mashuka maana hata uusugue huu itabidi iwe kila siku kwa mwezi ndo urudi hali yake ya kawaida
Sasa kama huu unaweza kusugulika kweli au ni ugonjwa?
Huyu anachana kweli mashuka maana hata uusugue huu itabidi iwe kila siku kwa mwezi ndo urudi hali yake ya kawaida
Mimi ni refa, tangia lini refa akacheza?
Kweli kabisa Mrembo by Nature,
Wapi na wapi wakati mie bishara ya kuchagua nilimalizana nayo karne kibao...
Nakula pensheni yangu mwenzenu....
Niacheni na raha zangu....
CC: Preta, KOKUTONA, PakaJimmy na mdogo wao watu8
Babu DC!!
ha ha ha......ngoja niweke wangu tuone........
hayo makenya miguuni Farkina,teh teh
hehehe hayo mavuti hapana bhana,huwa nikioga mwili wote na visigino sawa tu hakuna hata kusugua,,,,,ila sielewi mana kama mtu anavaa viatu na soksi hayao mavitu havidumu,,,nadhani wasiovaa viatu vya kufunika ndo waathirikaHahahaha weee ukiona mguu wangu utazimia lol lainiiii
beki tatu wangu huyu nilienda room kwake kuchukua charger ! kesho yake nilimrudisha shinyanga kwao
beki tatu wangu huyu nilienda room kwake kuchukua charger ! kesho yake nilimrudisha shinyanga kwao
View attachment 117719
Hahahaha huu ni mguu wa mdada mmrembo, hata jiwe si utumie kusugua mwehh...... kwa style hii net mtakuwa mnanunua kila mwezi.
Mimi ni refa, tangia lini refa akacheza?
Malaria haikubaliki
View attachment 117733
Nitakuwa refa kila mdada aposti mguu wake hapa kama Preta alivyofanya. Sio tunamponda shosti wakati ya kwetu ni majanga.com
CC Heaven on earth popote alipo.
Ahhahahahaha umeongea point shosti eeh mimi49 njoo uweke mguu wako tuone lol..
Babu shkamoo..nimekumiss sana babu yangu