Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
ha ha ha......ngoja niweke wangu tuone........
kaka usifanye mchezo na GenyeHa ha ha huyo ghetto kwangu simkaribishi atachana shuka na net zangu zote
beki tatu wangu huyu nilienda room kwake kuchukua charger ! kesho yake nilimrudisha shinyanga kwaoNikisikkiaga watu wanakandia miguu, I take it so personal. Ila huyu ana ugonjwa nahisi.
wewe ni nani kule ziada group?hhahahahahaha wapo wa hivyo hasa mitaani huko uswazi, mtu anashinda peku na kanga moja siku nzima usiku anapanda kitandani bila hata kuoga, anakaanga samaki basi vumbi la mtaa na mafuta ya samaki mguu unakuwa mweusiiiii...
safari safari mwisho wa mwaka huoha ha ha......ngoja niweke wangu tuone........
beki tatu wangu huyu nilienda room kwake kuchukua charger ! kesho yake nilimrudisha shinyanga kwao