Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
Natamani kutoka mwaka huu....
Ila sina hakika kama bibi ataniruhusu...
Labda kama tunaenda Rock city kutafuna sato..
Preta, ..Mnapanga kwenda wapi mwaka huu??
Babu DC!!
bado hatujalizungumzia hili swala......ila wazo lako tutaliweka mezani......vuta subra mchakato wote utawekwa hapa kama ilivyo ada .........uskondeee.........