Wadada sugueni miguu hata kwa jiwe khaaa

Wadada sugueni miguu hata kwa jiwe khaaa

Utakuwa unang'ala ng'ali ng"ali

ndio nimeshasugua........Da Mrembo by Nature....nimetakata.........?

foot2.JPG
 
Last edited by a moderator:
Sasa ulimuogopa atakuambukiza au atakuchania net
mimi nilimuajiri pamoja na kazi zingine kazi ni pamoja na kuniosha miguu sasa kama ya kwake ipo hivi mi ya kwangu ataiweza? pia bei ya mashuka home shoping centre ipo juu sana...niliona atanitia hasara...yaani alifika tu na kugeuza
 
Haaa imebidi nishike unyayo wangu mara tatu loooh, Mwenzetu kazidi uchafu mmmmh.
 
Yaani hapa nimeanza kusugua kwa kile cha kusugulia. Ila nasugua sehemu gani ni siri yangu.
 
Yaani hapa nimeanza kusugua kwa kile cha kusugulia. Ila nasugua sehemu gani ni siri yangu.
ukitaka mguu wako uwe mwaaa unachukua sukari au chumvi na matufa laini...mfano johnson baby oil au olive then unajisugua nayo dkk hata tano hivi plus mikono unakuwa mlaini sio mkono unakakamaa ukimsalimia mtu kesho yake anafungwa pop!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom