Waniangusha shost hukosagi sababu looh :smile-big::smile-big::smile-big:
Hahahahhaha mie muongo kuliko mganga lol
Waniangusha shost hukosagi sababu looh :smile-big::smile-big::smile-big:
kama mguu ndo hivo mungu tuepushe kutumia midomo
magonjwa aisee,,,,hapo hakuna usalamaHahahaha waogopa nini sasa?
ukitaka mguu wako uwe mwaaa unachukua sukari au chumvi na matufa laini...mfano johnson baby oil au olive then unajisugua nayo dkk hata tano hivi plus mikono unakuwa mlaini sio mkono unakakamaa ukimsalimia mtu kesho yake anafungwa pop!
magonjwa aisee,,,,hapo hakuna usalama
utamwosha akitoka hapo anaenda toilet pekuSi unamuosha miguu vizuri kwanza
beki tatu wangu huyu nilienda room kwake kuchukua charger ! kesho yake nilimrudisha shinyanga kwao
btw......Dr siku hizi unashinda sana sieta bana.........
kila siku ukiweza ila hata mara tatu hivi poa tuNafanya hivi kila siku au mara ngapi kwa wiki?
kaka usifanye mchezo na Genye
Loh nimecheka sana leo so ikwaje ulimwambia au ulivumilia?Kuna mmoja aliwahi kunikata na kisigino chake, utafkiri amevaa chupa zilizopasuka
Malaria haikubaliki
View attachment 117733