Wadada siku moja moja igeni maisha ya simba jike

Wadada siku moja moja igeni maisha ya simba jike

Yaani binadamu aliyeumbwa na utashi aige maisha ya mnyama?
Kwanzaa ajui simba akiwinda ile damu anayokunywa mpaka mnyama akafa anakuwa kashaingiza chakula kingi tumboni, maisha sasa ivi ni mathematics
Anakufa mtuuu mwingine ndio anatoka kimaisha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unafikiri natania saivi anatumia kanuni mbili tu:-
1. Jenerali hakosei
2. Akikosea, rudi kwenye kanuni ya kwanza.
Nb:-
Kummiliki "pesa inaongea" unafikiri ni jambo dogo[emoji12] hiko cheo kinamfaa kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom