Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,118
- 72,598
Wanaona kumpa mwanamke pesa ni Kama dhambi, waige wenzao banaWatoto wa sikuhizi hawaelewiii hiyo wanaona wanadangwa......wanaume suruwal bhna kazi ipo
Wanaona kumpa mwanamke pesa ni Kama dhambi, waige wenzao banaWatoto wa sikuhizi hawaelewiii hiyo wanaona wanadangwa......wanaume suruwal bhna kazi ipo
Wavulana wa sikuhizi wanapenda mteremkoWanaona kumpa mwanamke pesa ni Kama dhambi, waige wenzao bana
Ni jukumu la kila mwanaume kukamilisha huduma zote kwa mwanamke wakeMnakwepa ukweli eeehh..
Mimi sisumbuki ajipandishe kileleni mwenyewe kama hataki abaki mwenyewe bondeni...!Simba jike anawinda then analeta home anakula na simba dume. Tena anakula kwanza mume kisha jike anakula baadae. Ndipo hata mzigo simba dume anatoa wa kutosha.
Sasa ninyi endeleeni na vizinga vyenu vya kila siku harafu muendelee kutegemea na kileleni mpelekwe
Siku njema.
Na nyie tuwathamini kwa lipi??? Bado simba jike analea watoto bila kuhitaji msaada wa baba.Mmh. Ila baadhi ya wanaume mnapenda dezo sana aiseee.
Tafuteni kwa jasho mpate kuheshimiwa na kuthaminiwa kama wanaume. Hayo ya Simba waachieni wenyewe Simba.
Hahahaaaa. Eti ushakuwa Jenerali tayari mdogo wangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu niache na ukomredi wangu Dada yangu
Hahaaaa. Umeonaeee.Halafu ni shambulio la aibu binadamu kujilinganisha na mnyama wa porini.
Hahaaaa. Wapambane tu hamna mambo ya mara moja moja.Shangaaa wewe yan swaumu imeongezeka Mara dufu baada ya kusoma Uzi huu
Hahahahaaaaa
Sipati picha wadada watavyokushambulia hapa.Simba jike anawinda then analeta home anakula na simba dume. Tena anakula kwanza mume kisha jike anakula baadae. Ndipo hata mzigo simba dume anatoa wa kutosha.
Sasa ninyi endeleeni na vizinga vyenu vya kila siku harafu muendelee kutegemea na kileleni mpelekwe
Siku njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaaaa
Vyeo vya kupeana kama pipi hivi bana
Hhahahahahahhaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi vyeo vina raha yake bhana, Mtaani naitwa kapuku lakini huku mimi ni "mkuu, Boss, Komredi"