Hahaaa. Sawa Swahiba.Hahahaha, tena hapo nimemshusha cheo huyo kwa sasa ni Jenerali.
Unaweza kuwa golikipa ukipenda. Mimi mwanamke nahudumiwa na mume na halalamiki. Tatizo likwapi?Lazima utoke povu golikipa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo sio ufafanuzi ni uchochezi, hata usiupende [emoji4]
Hapo umepiga penyewe kabisa mkuuHahaha komredi wao wanasema mazoea hujenga tabia, wanaogopa tutawaachia majukumu yote moja kwa moja.
Mnakwepa ukweli eeehh..Ya simba mwachie simba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Lol.
Uwiiii. Eti Komredi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha, tena hapo nimemshusha cheo huyo kwa sasa ni Jenerali.
Halafu ni shambulio la aibu binadamu kujilinganisha na mnyama wa porini.Mmh. Ila baadhi ya wanaume mnapenda dezo sana aiseee.
Tafuteni kwa jasho mpate kuheshimiwa na kuthaminiwa kama wanaume. Hayo ya Simba waachieni wenyewe Simba.
Shangaaa wewe yan swaumu imeongezeka Mara dufu baada ya kusoma Uzi huuMmh. Ila baadhi ya wanaume mnapenda dezo sana aiseee.
Tafuteni kwa jasho mpate kuheshimiwa na kuthaminiwa kama wanaume. Hayo ya Simba waachieni wenyewe Simba.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Olewa tu ndugu yangu maana unatuonea wivu
Ila sio poa kuwajumuisha wote waliozaliwa kuanzia miaka hiyo.Wewe nawe mwanaume??[emoji57] [emoji57] [emoji57] mwanaume kama wewe bora nkuwekee sumu tu ukufilie mbali huko.....
Hivi nyinyi watoto wa 89...90.... Kwa nn mnapenda kulelewa mbuzi nyinyi........nakasirika sana nikiona thread ya hivi
Watoto wa sikuhizi hawaelewiii hiyo wanaona wanadangwa......wanaume suruwal bhna kazi ipoRonadinyo anawapa mademu Zake milioni 4. Na uchafu matumizi yao binafsi
Acha tu tujumuishe maana 90% wako hvyoIla sio poa kuwajumuisha wote waliozaliwa kuanzia miaka hiyo.
Sio wote though.Acha tu tujumuishe maana 90% wako hvyo