Mh......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba jike anawinda then analeta home anakula na simba dume. Tena anakula kwanza mume kisha jike anakula baadae. Ndipo hata mzigo simba dume anatoa wa kutosha.
Sasa ninyi endeleeni na vizinga vyenu vya kila siku harafu muendelee kutegemea na kileleni mpelekwe
Siku njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee,
Mbona mkisifiwa "Bibie uzuri wako ni sawa na wa ndege Tausi na mwendo wako u mzuri na hatua za hesabu kama Twiga" mnafurahi, siku moja moja sio mbaya kumuiga simba jike bhana[emoji40] [emoji125] (namsaidia mleta mada kuwaza kwa sauti)
Simba jike anawinda then analeta home anakula na simba dume. Tena anakula kwanza mume kisha jike anakula baadae. Ndipo hata mzigo simba dume anatoa wa kutosha.
Sasa ninyi endeleeni na vizinga vyenu vya kila siku harafu muendelee kutegemea na kileleni mpelekwe
Siku njema.
Huo sio ufafanuzi ni uchochezi, hata usiupende [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeupenda sana ufafanuzi wako mkuu.
Hahaha komredi wao wanasema mazoea hujenga tabia, wanaogopa tutawaachia majukumu yote moja kwa moja.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeupenda sana ufafanuzi wako mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125]Huo sio ufafanuzi ni uchochezi, hata usiupende [emoji4]
Sio dezo wewe, siku moja moja nimesema. Hasa kama wewe ni mama chapakazi. Ila kama ni golikipa hutaelewaMmh. Ila baadhi ya wanaume mnapenda dezo sana aiseee.
Tafuteni kwa jasho mpate kuheshimiwa na kuthaminiwa kama wanaume. Hayo ya Simba waachieni wenyewe Simba.
Utakuwa golikipa weweUbinafsi tuu na kupenda mteremko!
Hata aliyebuni airplane alimuiga ndege wa polin acha kujitoa ufahamuYaani binadamu aliyeumbwa na utashi aige maisha ya mnyama?
We endelea kupiga vizinga tu utumike na kutupwa kama big gUsipende slopes
Kwa hiyo kichwa peke yake kinaweza fanya kila kitu bila msaada wa viungo vingine!?Acha kupingana na maandiko. Unadhani kuwa kichwa cha familia maana yake nini?
Hahaaa. Lol.Hahaha komredi wao wanasema mazoea hujenga tabia, wanaogopa tutawaachia majukumu yote moja kwa moja.
Lazima utoke povu golikipaOlewa tu ndugu yangu maana unatuonea wivu
Hahahaha, tena hapo nimemshusha cheo huyo kwa sasa ni Jenerali.Hahaaa. Lol.
Uwiiii. Eti Komredi.