miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
hii mbinu mkuuu tena huyo amekushindwa unakabwa kooo hadi unatoa hela mwingine hadi kulia analia..
Jana nimepata msg toka kwa mtu nisiyemfahamu ikisema " dada nisaidie elfu 15 tu mwenzio nafukuzwa chuo na wamesema sitaenda Btp kama nisipomaliza kulipa."
Nikampandia hewani mtu huyo kujua ni nani(maana huenda akawa ndugu yetu na huenda akawa na tatizo genuine).
Du, ebana eeh, nilikutana na sauti mororo balaa akiniomba msamaha kwa namna ambayo ni irresistable kabisa hasa kwa mwanaume mkware.
"Samahani mkaka, nimekosea namba, nilikuwa namtumia sms dadaangu, nina shida kaka ndo maana labda nimechanganyikiwa na sina msaada"!!
Nikampa pole na kumtakia kila la heri.
Nilichojifunza ni kwamba huyu dada anajaribishajaribisha namba yoyote ili kama atatokea m'baba mwepesi aingie kitanzi mwenyewe...maana hapo anakuwa ametoa contact, na pia amejiexpose kwamba ana shida na matatizo. Bahati mbaya tupo wananaume tunaotafuta wadada wenye shida maana hawajiulizi mara mbili.
Jifunze kitu hapo.
Preta
Smile
Blaki Womani
KOKUTONA
Passion Lady
Lady doctor
Semeni mshawahi kijikosesha namba?...mara ngapi na je ililipa?
Unajua hata kuna wanaume wengine wanakikosesha na vinganganizi hatari mtu unamwambia wrong number
Preta
Smile
Blaki Womani
KOKUTONA
Passion Lady
Lady doctor
Semeni mshawahi kijikosesha namba?...mara ngapi na je ililipa?
Na mara nyingi wadada ambao wanajifanya wanashida huwafuata wanaume na si wanawake wenzao, ni kawaida hata kwenye kituo cha daladala mtu anajifanya anashida unaona anakunong'oneza na ukimtolea nje anasogea kwa mtu mwingine mwanaume hivyo hivyo
Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe maana sijui huu mfumo dume wanaolalamika wanaharakati utaondokaje kama mambo yenyewe ni haya, kiukweli kinadada ndivyo walivyo maana hata uswahilini ukikuta wamekaa kibarazani wanamchambua mwanamke mwenzao ambae anapita barabarani utasema wao wapo perfect na good looking (kumbe kawafubika mbaya ila wakiwa kikundi kila mtu anajiona bomba huku wakimtoa kasoro mwanamke mwanzao)hata mimi nikiwa na shida yoyote na kama nitahitaji msaada hata wa kuuliza njia simfuati mwanamke hata siku moja wana dharau sanaaaaa atakushusha atakupandisha na usikute hata huo msaada asikupe lakini mwanaume atakuelekeza kiroho safiiiiiiii
Kwa jinsi alivyoking'ang'anizi anabadilisha namba kujaribu tena bahati yakeWa hivyo huwa tunawatupia Black list/Reject list au Ignore list! Atakutafuta mpaka achoke
Wakati mwingine unahitaji kuwa makini maana mrembo wako anaweza kumtuma mtu akupime joto kujua issue kama hizo unazi-handle vipiHaa! katrick kazuri hako! wallah mimi nilivyo weak kwenye tusauti mwororo twa wadada hapo ningeingia mkenge! loo! Mungu anisaidie!
Najaribu kuangalia kama mwanaume anaweza kuanza kutafuta msichana au jimama' kwa mtindo huo...
Kwangu mimi naona dunia ni pana mno kiasi kwamba ukianza mchezo huo unaweza ukakata mwezi unakutana na wababa wenzio na wabibi.
Unless kama nitampoint mrembo mahala, halafu niitafute namba yake kabisa ndipo nianze machezo ya kujikosesha namba yake kwa makusudi(wakati I know warram doin')
Wanawake, uwongo mbaya mna roho ngumu sana na mkiwezeshwa ndo basi tena...
MwanajamiiOne
King'asti
Preta
Smile
Blaki Womani
KOKUTONA
Passion Lady
Lady doctor
Semeni mshawahi kijikosesha namba?...mara ngapi na je ililipa?