Wadada na wizi wa aina mpya

Wadada na wizi wa aina mpya

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,788
Jana nimepata msg toka kwa mtu nisiyemfahamu ikisema " dada nisaidie elfu 15 tu mwenzio nafukuzwa chuo na wamesema sitaenda Btp kama nisipomaliza kulipa."

Nikampandia hewani mtu huyo kujua ni nani(maana huenda akawa ndugu yetu na huenda akawa na tatizo genuine).

Du, ebana eeh, nilikutana na sauti mororo balaa akiniomba msamaha kwa namna ambayo ni irresistable kabisa hasa kwa mwanaume mkware.

"Samahani mkaka, nimekosea namba, nilikuwa namtumia sms dadaangu, nina shida kaka ndo maana labda nimechanganyikiwa na sina msaada"!!

Nikampa pole na kumtakia kila la heri.

Nilichojifunza ni kwamba huyu dada anajaribishajaribisha namba yoyote ili kama atatokea m'baba mwepesi aingie kitanzi mwenyewe...maana hapo anakuwa ametoa contact, na pia amejiexpose kwamba ana shida na matatizo. Bahati mbaya tupo wananaume tunaotafuta wadada wenye shida maana hawajiulizi mara mbili.

Jifunze kitu hapo.
 
Du!
Broda ndo nyie nini?... ha ha haaa!!
 
Hali ya hewa ishachenji paka, kabaridi hakooo... kama vipi tupia namba yake then itakuwa at our own risk! Mara nyingi sauti na sura zinaendana, weka namba mkuu. Au umeireserve kwa matumizi binafsi?
 
Aisee...mjini shule kila mtu na maarifa yake
 
hahahaha nimeshakutana nayo hiyo, kwangu ilifanyika mara mbili :smile-big:
 
Jana nimepata msg toka kwa mtu nisiyemfahamu ikisema " dada nisaidie elfu 15 tu mwenzio nafukuzwa chuo na wamesema sitaenda Btp kama nisipomaliza kulipa."

Nikampandia hewani mtu huyo kujua ni nani(maana huenda akawa ndugu yetu na huenda akawa na tatizo genuine).

Du, ebana eeh, nilikutana na sauti mororo balaa akiniomba msamaha kwa namna ambayo ni irresistable kabisa hasa kwa mwanaume mkware.

"Samahani mkaka, nimekosea namba, nilikuwa namtumia sms dadaangu, nina shida kaka ndo maana labda nimechanganyikiwa na sina msaada"!!

Nikampa pole na kumtakia kila la heri.

Nilichojifunza ni kwamba huyu dada anajaribishajaribisha namba yoyote ili kama atatokea m'baba mwepesi aingie kitanzi mwenyewe...maana hapo anakuwa ametoa contact, na pia amejiexpose kwamba ana shida na matatizo. Bahati mbaya tupo wananaume tunaotafuta wadada wenye shida maana hawajiulizi mara mbili.

Jifunze kitu hapo.

Nimekuwa victim wa hiyo scenario, sms ilisomeka hivi " nisaidie shogangu, yani sh.2,000/= nikale chips kavu, dada hajanitumia hela mpaka saa hizi na sijala tangu asubuhi, na kesho ndo tunapepa, chonde mpnz, nitakupa dada akinintumia". Nilipompigia alisema amekosea alitaka kumtumia hiyo sms rafiki yake, alinipiga kwa kweli, how much? ni siri yangu.
 
Hali ya hewa ishachenji paka, kabaridi hakooo... kama vipi tupia namba yake then itakuwa at our own risk! Mara nyingi sauti na sura zinaendana, weka namba mkuu. Au umeireserve kwa matumizi binafsi?
Mkuu
uko serious?
kama vp sema nikupe pasi!
 
Hali ya hewa ishachenji paka, kabaridi hakooo... kama vipi tupia namba yake then itakuwa at our own risk! Mara nyingi sauti na sura zinaendana, weka namba mkuu. Au umeireserve kwa matumizi binafsi?
Hapana bana sijaireserve...miye umri ushantupa mkono, mambo haya yanafaa vijana zaidi wanaoweza kurusha m^mkojo mita3... ha ha haaa
 
Back
Top Bottom