PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,788
- Thread starter
- #21
Tupe maujanja uliikabili vp...au pia kama ulichomolewa msimbazi kadha weka wazi...hahahaha nimeshakutana nayo hiyo, kwangu ilifanyika mara mbili :smile-big:
Na pia kama uliishia nae MAPAMBAZUKO G.HOUSE pia tujuze.
Hapa ni darasa la maujuzi.