Wadada na waume za watu

Nani anahitaji kuchoshana na mwanamke ambae anakuona sawa na house boy wake
Wakati unamvisha, unamlisha, na kwao ulikwenda ukatoa sadaka kwa wazazi wake lakini akisha zaa watoto wawili thamani yako kwake inapotea
Bora mchepuko IST hauna tabu wenyewe unahitaji pesa za saloon, pesa za kucha, na pesa ya bando biashara kwisha unaitwa baby na miaka yako 52 huku kitandani akijigeuza kama kitenes anakupa ujana unasahau mama shebeduu
 
Je yeye maisha yake yatakuaje? Lini atakuwa na mume wake? Ilihali muda wake wa usichana atapotezea kwako wewe mwenye familia yako kumbuka kuwa usichana ni wa muda mfupi tuu
 
Je yeye maisha yake yatakuaje? Lini atakuwa na mume wake? Ilihali muda wake wa usichana atapotezea kwako wewe mwenye familia yako kumbuka kuwa usichana ni wa muda mfupi tuu
Wenye tabaa wapo milele katika kizazi cha Adam na Hawa yeye akichoka nitampata mwingine akihitaji wa milele siwezi kuwa Mimi kwa sababu milele yangu ni wallet
 


Mke wangu sina vishtobe bhn mbona unakuja kunipaka huku bila taarifa mupenzi ..?? Alafu sijawahi kuwatembeza upande bhn
 
Mke wangu sina vishtobe bhn mbona unakuja kunipaka huku bila taarifa mupenzi ..?? Alafu sijawahi kuwatembeza upande bhn
Hahahahahaha wakat ndo zako
 
Usiwapangie watu namna ya kuishi Pambana na Hali yako kama wao wanapambana na Hali zao kupitia waume za watu me naona sawa tu sijui dust_ bean cjui nini kwani wanagongwa bure?? Au wanaume wenye migogoro na shida ktk ndoa zao unataka Nani awasaidie?? Jaribu basi kuwaza nje ya box
 

Atafute na yeye wa kumliwaza hajafungwa miguu why ujipe stress hao mipango ya kando wengine hata sio wasichana ni wake za watu wameamua kutoa stress zao kwa Mme wa mwingine
 
Sasa faida yake ni nini?
C n wivu tu kuona kwann
Mwenzao anafaid pekeake

Hujawah kuona mwanaume
Ambae n malaya ndo hua
Anang"ang"aniwa sana na
Wanawake

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
si bora huyo anaekupa 50,000/- hawa marioo kazi hawawezi ful kupeana presha wa nini? janaume halijui hata majukumu ya mwanaume waaai bora tubanane kwa hao hao waume za wenzetu
 
Afu wanasema "I wanna have my own family one day"

Yani Kama ambavyo unapenda wame za watu, mume wako atakitembeza huko nje mpk utie akili

Ndio utakuja na defense mechanisms hapa "every man cheats" mmmh

Wadada tuwaonee huruma wake na watoto jamani. . Wanateseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…