Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Haya mambo yaache tu. Jambo la msingi ni kuipa Iman mioyo yetu kwamba wenza wetu hawachepukikuua siui ila atajuta kumjua baba ngina
Haya mambo yaache tu. Jambo la msingi ni kuipa Iman mioyo yetu kwamba wenza wetu hawachepukikuua siui ila atajuta kumjua baba ngina
Usijal dk 5 tu nitakuwa hapoUwahi kabisa uje ulipie nisije nikapewa kibano hahahaaa
Lakini ukumbuke kuwa hawa wasio na wake sio mabikra wapo kwenye selection...wanaonja onja kuona pombe ipi imeiva vizuri ili wanyweKweli wanaume tusio na wanawake tupo wengi tu.
Asante kwa kutupigania wasitukimbie hawa mabint.
siyo mia ya mia aisee ukija kujua unaweza dondosha moyo njianiHaya mambo yaache tu. Jambo la msingi ni kuipa Iman mioyo yetu kwamba wenza wetu hawachepuki
Mme Wa mtu hana alama yawezakuwa ulishawahi BilakujuaH
Namaanisha kuchoka yani mpaka unakosa mvuto sababu ya kugegedwa siku zote na waume za watu kwanza mimi nitoke na mme wa mtu kwa shida gani hasa hiyo
Hivi unajua kusoma vizuri? Acha umasikini wa akili sipendi watu wajinga kujitokeza mbele za watu kuongea ujinga unaharibia watu mood kwa ujinga dah!! Yani wewe ni Mjinga haihitaji hata akili nyingi kukufikiria inaonekana ulipatikana kwa kufanyia hamu wewe mimba haikupangwa ndio maana brain yako ni 0 + 0=0Wenzako wanafanyia hamu tu, sio wewe na dhiki zako, hufanyikazi unasubiria kutongozwa, wewe kutuvulia chupi tu 50000? Ukipata wanaume watatu kwa siku una hesabu ya Marcopolo tata? Wanaume kazi tunayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuuUkweli ni kuwa wanawake wengi siku hizi hawataki mapenzi ya bila pesa ile kama zamani kuvumiliana kujenga maisha na mtu akati ndio anaitafuta pesa.
Solution yao ndio hio wameona bora wasererekee kwa waliovaa pete, ili wavune vihela vya saluni na mikoba bila presha in exchange of unlimited sex.
Na trend inaonesha kizazi hiki cha paka kinakuwa kwa kasi ya 4.5G. Hivyo wanaume wenzangu tupige hela tuoe ili tuendelee kuwafaidi hawa pusi!
Samahani etii huyo hapo kwenye avatar ndio mmeo?Sasa wewe ukikubali unapotea maana yeye ana familia


