Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,495
Mleta mada una safari ndefu sana, na utaumia sana. Coz umeongelea upande mmoja wa kina dada, na mimi naongelea upande huo wa kina dada tu. Iko hivi, mdada single kutembea na mume wa mtu si kosa. Unaanzaje kumwambia ana-cheat....how!!!!. Hata dhamira yake haimgusi, we waulize tu. Hiyo ni mosi, pili.....mke wa mtu au mdada mwenye mahusiano kutembea na mwanaume mwingine hilo ni kosa, kosa kubwa. Hata dhamira zao huwa zinawasuta, we waulize. Kama wapo humu watatoa ushuhuda. Tatizo kuna watu (labda kama wewe) wanawalisha wenzao 'mashudu'. Wanapingana na ukweli. Matokeo yake jamii inakuwa kama Mbuni, kuna tatizo yeye anaficha kichwa tu. Hebu nisijichoshe kuandika, soma hapo down kwanza (japo kuna uwezekano mkubwa hutaelewa).