Wadada na waume za watu

Wadada na waume za watu

Kwani tumesema wadada waache kusex? Au sex inapatikana kwa waume za watu pekee single guyz wamekatika nyeti zao? Acheni kuchochea uzinzi changia madahmada halaf unashangaza kishenzi komenti ndefu kama mkojo yani duu magugu maji tupu mkuu vipi?
Ndio mahasira na mapovu niliokuwa nasema jiwe limekupata nini sex ni sex tu kama ni mume au mke wa mtu hayo ni mambo ya ngoswe waachie wenyewe huwezi kuwa mwalimu wa Maadili kwa dunia nzima angalia mamno yako mtu kutoka nje ya ndoa mojawapo ndio hayo hatosheki au hatoshelezwi huwezi kushindana na maumbile hata wewe mwenyewe upo busy na mambo ya wengine kujifanya mwalimu mtu atachomoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kha!!UKIMWI utatumaliza walah kwahiyo ukitoka nje ndio utatosheka?
 
Baki njia kuu mkuu kuranda sana hupati ya tofauti kama wewe ni sikio la kufa endelea wengine wameelewa sio lazima na wewe uelewe
 
Kha!!UKIMWI utatumaliza walah kwahiyo ukitoka nje ndio utatosheka?
Hata usipotoka unaweza kupata ukimwi kwani wote walio athirika walipata kwa kujamiiana? Tu. Hii ni dunia kila mahali ulipo pana risk hata ukiwa ndani ya gari ni risk lakini cha msingi mtu akitoka nje anaweza kupima au kutumia condoms

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie waume za watu unajua unamke tena mke mzuri tu unatoka nje kufanya nini?

Hebu tulizeni hizo mboli zenu
 
eti kutembea upande ? okey ujumbe mzuri sana wakukusikia na wasikie tu ... kukubali kupewa elfu hamsini ni upungufu wa mipango...... me huwa nasema tembea na mume wa mtu jua unataka nini kwake kama ni pesa iwe ya maana na hakikisha hatesi familia yake kwa ajili yako ukiweza hii principle basi utakuwa ni wale washindi wachache ........... ila pia uzinzi ni dhambi na jiandae pia kuja kuliwa mumeo incase ukiolewa malipo ni hapa hapa duniani...... huwa nawauliza hivi ukija kusikia mumeo anatembea na demu mwingine utajisikiaje HUWA MNAJIBU KWA UJASIRI HAWEZI NA MIMI NAJUA NJIA ZOTE ZA KUMBANA , MY DEAR KEEP IN MIND UKILA VYA WENZIO NA VYAKO TUTAVILA TU RAFIKI.. kila la heri
Watu weweeer
 
Unayoita njia kuu inawezekana kwa mwingine ni service road maisha hayafiati mpangilio wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakufundisha wewe wala sijakuita ukomenti ni kihempe chako hili ni jukwaa la mawazo huru changanya vyako kaendelee na uzinzi ila ukweli ndio huo mimi wadada nawavuaga nguo hata bar nikimkuta na wangu
 
Yani yale mzinzi yaliokubuhu kwa uchafu utayajua tuu
 
Yani hapo huwezi kujua kitu kaa kimya mkuu kumbukumbu ninayo ndefu sana hlf trans gender huijui?
Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa Ujana bana....Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom