Wadada na waume za watu

Wadada na waume za watu

Kwa mtazamo wako hakuna single guyz wasio na familia? Mbona umefikiria kirahis hivyo?
Wewe ndiye unafikiri kirahisi. Nilimaanisha hata kama wanandoa au wapenzi hawachepuki lakini unakuta kila mmoja wao alisha tumika. Yaani ni nadra sana tena sana kukuta wanandoa ambao walioana WOTE WAKIWA BIKRA..

UNSERSTAND???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mahasira na mapovu niliokuwa nasema jiwe limekupata nini sex ni sex tu kama ni mume au mke wa mtu hayo ni mambo ya ngoswe waachie wenyewe huwezi kuwa mwalimu wa Maadili kwa dunia nzima angalia mamno yako mtu kutoka nje ya ndoa mojawapo ndio hayo hatosheki au hatoshelezwi huwezi kushindana na maumbile hata wewe mwenyewe upo busy na mambo ya wengine kujifanya mwalimu mtu atachomoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize hao ma single aka wasiooa wanatembea na wanawake wangapi?

Au mabinti ambao hawajaolewa wanatoka na wangapi?

Kwanini huu mfundo uwe kwa wanandoa pekee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawajaza chupa wangapi
Nitakayemkuta ni halali yangu kuna mdada hapa jirani alivuliwa nguo zote had chu alikuwa na dred akanyolewa kisa kakutwa na mume wa mtu yule mke akamuitia majimama haisee walimdhalilisha mpaka raha
 
Wewe ndiye unafikiri kirahisi. Nilimaanisha hata kama wanandoa au wapenzi hawachepuki lakini unakuta kila mmoja wao alisha tumika. Yaani ni nadra sana tena sana kukuta wanandoa ambao walioana WOTE WAKIWA BIKRA..

UNSERSTAND???

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongelea wadada waache kupotezewa muda kaka watafute wanaume wasiooa wafanye maisha hata hao waliooa mwanzo walikuwa hawana kitu wake zao wamewasaidia sasa wanawake wa nje ndio wanaanza kuwatamani
 
Wanajali sasa
Kauli mbiu yao ni 'bora life lisonge'
 
Nitakayemkuta ni halali yangu kuna mdada hapa jirani alivuliwa nguo zote had chu alikuwa na dred akanyolewa kisa kakutwa na mume wa mtu yule mke akamuitia majimama haisee walimdhalilisha mpaka raha

Mbona pole. Mi wala sita dili na mwanamke mwenzangu, nitadili na huyo shetani aliyeapa mbele ya Mungu na Mimi kuwa kaamua kufuata ndoa takatifu na sasa anaiharibu. Siku ukukita kalala na binti yako utamuua huyo binti yako? Dili na hilo shetani kwanza
 
Hivi kwa mfano mademu wote wakigoma kutembea na waume za watu, sio tuliooa kama mke akikubania tutasafisha vipi bunduki kwa mfano?
 
Elimishaneni vinginevyo mtaliwa sana

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Umeandika uroto alafu umevaa hijabu, ndo mana huwa nawachojoa hayo manguo ... Funua natupia kimoja napita hivi,, Uninja wote kwixh ney
Na mara zote, na iko proven....'waroto' huona kilakitu ni cha 'kiroto'.
 
Mada umeielewa? Au umesomewa? Ngoja basi nikuelekeze iko hivii: ni ushauri kwa wadada waache kupotezewa muda na waume za watu watachelewa kufanya maisha
Na wewe nawe......hivi unaelewa unachoandkka lakini!!!. Mtu asipoelewa kilichoandikwa na mwingine, huyo nitamuelewa. Lakini mtu asipoelewa alichokiandika mwenyewe....huwa simpatii kundi.
Hivi mdada anaanzaje kufanya maisha bila mwanaume!!!! Wewe ndio wale mliolishwa mashudu kwamba kazi na pesa ni maisha kwa mwanamke. Hebu zakuambiwa changanya na zako.
 
Habari wapendwa,

Wadada leo naomba tujikumbushe kitu kidogo hapa :- Ni kuhusu kuchagua watu wa kuwa nao kwenye mahusiano mf: -kumezuka wimbi la wasichana kupenda kutembea na waume za watu kisa wapate pesa za kujikimu kimaisha kwa upande wangu mimi naona tunakosea sana hiyo tabia na kwanza utachelewa sana maisha kwa kupenda vya dezo mwisho wa siku vitakutokea puani wewe msichana mdogo umeng'ang'ana na mizee isiyojiheshimu kisa anakupa hela na bora hata iwe hela sasa 50000 huoni kama ni dharau?

Yani kakuona jalala la kumwagia taka mwili wake puu! Kwanini wadada tusijikite katika kutafuta maisha? Mume wa mtu akikutongoza ujue kakuona wewe ni dastibini zile za barabarani ambazo kila mpita njia anatupia taka na kwenda zake, yani limtu na mauchafu yake wewe unalikubali maana hakuna malengo yoyote kawashwa huko kaona aje kwako ni bora utulie upate wako asiye na mke ukipenda vya dezo utatumika hadi utakuwa unatembea upande upande.

Tuacheni jamani.
Duuh asee
 
Back
Top Bottom