nzikudaima
Senior Member
- May 27, 2017
- 180
- 91
Kwakweli wadada mjiheshimu na waliooa msifanye kugeuza wadada Kama majalala
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sana kwa watu mimi napenda size zangu tabia hizo za kutokua na choices ni za mbwa maana hawanaga cha kuchagua ni atakayewahi mtu ana mke wake wewe atakupeleka wapi wewe mgagaa na upwa? Unafurahia kufanywa osheo? Mkewe wanajenga familia
Aisee! We kweli mwenda wazimu naona umewachana ile mbaya, eti 'viwanja vya mazoezi' kuna ukweli fulani loading...hapaDada naona unawapeperushia watu viwanja vyao vya mazoezi!!
hao wadada wa ivyo wanaitwa viwanja vya mazoezi ukitoka mazoezi unaenda kwenye mechi sasa kwa mkeo!!
Mmmhhhhh okayWenyewe mnasema mme wa mtu maziwa
Kwahiyo bf unae au huna mbona unaniweka njia panda mtt weweNaona sana kwa watu mimi napenda size zangu tabia hizo za kutokua na choices ni za mbwa maana hawanaga cha kuchagua ni atakayewahi mtu ana mke wake wewe atakupeleka wapi wewe mgagaa na upwa?
Nimefurahi hii mada imetolewa na mwanamke. Umesema ukweli, mchepuko hauna thamani zaidi ya kuutumia tu kwa interest zako basi.Naona sana kwa watu mimi napenda size zangu tabia hizo za kutokua na choices ni za mbwa maana hawanaga cha kuchagua ni atakayewahi mtu ana mke wake wewe atakupeleka wapi wewe mgagaa na upwa?
Haaaaa aya vizuri mdadaSikulelewa malezi ya mbwa
Ndo nini?
buku tu huku kitaaHabari wapendwa,
Wadada leo naomba tujikumbushe kitu kidogo hapa :- Ni kuhusu kuchagua watu wa kuwa nao kwenye mahusiano mf: -kumezuka wimbi la wasichana kupenda kutembea na waume za watu kisa wapate pesa za kujikimu kimaisha kwa upande wangu mimi naona tunakosea sana hiyo tabia na kwanza utachelewa sana maisha kwa kupenda vya dezo mwisho wa siku vitakutokea puani wewe msichana mdogo umeng'ang'ana na mizee isiyojiheshimu kisa anakupa hela na bora hata iwe hela sasa 50000 huoni kama ni dharau?
Yani kakuona jalala la kumwagia taka mwili wake puu! Kwanini wadada tusijikite katika kutafuta maisha? Mume wa mtu akikutongoza ujue kakuona wewe ni dastibini zile za barabarani ambazo kila mpita njia anatupia taka na kwenda zake, yani limtu na mauchafu yake wewe unalikubali maana hakuna malengo yoyote kawashwa huko kaona aje kwako ni bora utulie upate wako asiye na mke ukipenda vya dezo utatumika hadi utakuwa unatembea upande upande.
Tuacheni jamani.
Hehehhe hiyo tungo ya mwisho kiboko!Hivi kwani kila Mme wa mtu anahela,,,,au ndo kale kamsemo "behind the success man there is strong woman" ,,,cha maana watafute pesa zao tuu wapunguze kukinga mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada wote mjini ni machuma ulete..!Hivi kwani kila Mme wa mtu anahela,,,,au ndo kale kamsemo "behind the success man there is strong woman" ,,,cha maana watafute pesa zao tuu wapunguze kukinga mkono
Sent using Jamii Forums mobile app