Spirit
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 457
- 383
- Thread starter
- #41
Huwa nawatafakari sana hao wadada au hawanaga mioyo? Duu mimi nina wivu sana yaniukiona upo na mume wa mtu mwaka hadi mwaka unatatizo kwenye ubongo wako .. na huku anakuchimba mkwara kupiga simu mwisho sa moja .. na ole wako ubebe mimba na ole wako umguse mkewe na we upo tu kapimwe akili