Wadada na namba ya simu...

Wadada na namba ya simu...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si unafuta no yake, unaendelea na maisha yako lol.
 
Cha ajabu mkitoa namba mnawaza kuomba hela tu..
Kuna masaa tunaomba namba ili kuongeza tu marafiki.
Bob sio wote ni ombaomba asee …. yaan mpaka uombwe hela kuna stage unakua umeshavuka šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…

Pia sio kila mtu atakua interested na wewe at first place ukipewa namba jarib kuchunguza je ni mdada wa aina gani maana tunatofautiana in term of everything

Ukilijua hilo hutokua unalalamika hivo
 
Bob sio wote ni ombaomba asee …. yaan mpaka uombwe hela kuna stage unakua umeshavuka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Pia sio kila mtu atakua interested na wewe at first place ukipewa namba jarib kuchunguza je ni mdada wa aina gani maana tunatofautiana in term of everything

Ukilijua hilo hutokua unalalamika hivo
Mmmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlichojifunza kwa hawa viumbe nguo nyingi ni kuwa simu yake ispopigwa na wanaume, kila anayemwomba namba ana mpa ili tu uwepo usumbufusumbufu wa hapa na pale. Ila si kwamba kakuelewa. Akiwa ana waiting list labda ya watu 10 wote wanabaki kuwa status pending ila ana mmoja ama wawili ama wanne ndo wana confirmed status.

Kama mimi mschana mdogo sana anatoksha kuwa mtoto wa kuzaa kanielewa kishenzi, tunagidana hata kwenye gari karibu kila siku almost mara nne hedi tano kwa week. Hajwahiniomba hela ila nikagia simu yake washkaji wanapigwa mizinga balaaa, akaniambia hao wamejipendekeza wwnyewe.
Difference ya umri wako na binti ni kama mingap hivi??
 
Back
Top Bottom