Wadada na namba ya simu...

Wadada na namba ya simu...

Wajinga kabisa, kuna wengine wanakupa namba za Baba zao au kaka zao. Wengine wanakupa za uongo tu.

Hebu kuweni na huruma wana wa Mungu.
 
Nyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.

Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu, bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita, kumaanisha amekupa namba ya ukweli.

Basi baadaye ukianza kumtext hajibu sms, wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga, kama hujamuelewa msela husimpe namba yako, maana mnatoa kwa moyo bila kulazimishwa.

Uzi tayari
Kwani kufuta hiyo namba unakatazwa ?
 
Nlichojifunza kwa hawa viumbe nguo nyingi ni kuwa simu yake ispopigwa na wanaume, kila anayemwomba namba ana mpa ili tu uwepo usumbufusumbufu wa hapa na pale. Ila si kwamba kakuelewa. Akiwa ana waiting list labda ya watu 10 wote wanabaki kuwa status pending ila ana mmoja ama wawili ama wanne ndo wana confirmed status.

Kama mimi mschana mdogo sana anatoksha kuwa mtoto wa kuzaa kanielewa kishenzi, tunagidana hata kwenye gari karibu kila siku almost mara nne hedi tano kwa week. Hajwahiniomba hela ila nikagia simu yake washkaji wanapigwa mizinga balaaa, akaniambia hao wamejipendekeza wwnyewe.
Kwahiyo unamkira mtoto
 
Nyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.

Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu, bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita, kumaanisha amekupa namba ya ukweli.

Basi baadaye ukianza kumtext hajibu sms, wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga, kama hujamuelewa msela husimpe namba yako, maana mnatoa kwa moyo bila kulazimishwa.

Uzi tayari
Tuma muamala kupunguza maneno mengi
 
Back
Top Bottom