Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Nyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.
Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu, bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita, kumaanisha amekupa namba ya ukweli.
Basi baadaye ukianza kumtext hajibu sms, wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga, kama hujamuelewa msela husimpe namba yako, maana mnatoa kwa moyo bila kulazimishwa.
Uzi tayari